JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Huwa inaadhimishwa kila mwaka kama sikukuu ya Sultani Jamshid wa Zanzibar. Kama ulikuwa hujui basi jua kuanzia leo
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Habari jamii f Ls & Gs, nimemaliza shughuli zangu mda huu nimeona nisilale bila kunena nanyi. Rejea kichwa hapo juu. kumekuwa na tabia ya wanaume walio wengi hasa waishio katika majiji kuwa na...
1 Reactions
13 Replies
4K Views
Ndio iko hivyo, Ukisemwa ukweli utahojiwa na ukisemwa uongo nao utahojiwa. Kuhoji huko hakutakuwa na ubaya maana kutakuwa na hoja. Hata sijui nimeandika nini hapa,, mlioelewa mnieleweshe sasa
0 Reactions
20 Replies
1K Views
Siku 2 mfulizo nimeokota pesa lakini jinsi nilivyostuka na mapigo ya moyo kwenda mbio nimeshangaa sana. Siku ya 2 nimeokota pesa zaidi ya siku ya kwanza. Kuna mtu amenambia kwa sababu hazikuwa...
1 Reactions
6 Replies
477 Views
Sometimes life comes and hits you right on your face and it's quite overwhelming. You suddenly start evaluating every life choice you've made whether it was the right one or not especially once...
2 Reactions
2 Replies
515 Views
Kuna mwanamke mmoja nilikutana nae Masaki pale kwenye ice cream kwa wadosi. Nikamsalimia na kujitambulisha kwake stori mbili tatu nikaomba namba yake akanipa. Tukawa tuna chat baada ya mwezi na...
7 Reactions
16 Replies
999 Views
Kuna nyuzi nyingi sana za uwongo uwongo, lakini zina burudisha sana. Kuna tajiri Bill Lugano, huyu jamaa ni fix kichizi. Lakini kwenye uwongo wake utaburudika kichizi. Pia yupo Bujibuji, huyu...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Nilikua nafuatilia series ya Walking Dead imeninogea sasa nimeanza episode ya kwanza ya season 7 hamu imeniisha asee.😔 Kifo cha Glenn Rhee kimenihuzunisha mno yaani sitaki tena kuendelea na hii...
4 Reactions
45 Replies
2K Views
Wadau njaa imezidi na wadeni wangu wanataka hela zao. Vipi jamani, mshaharawa mwezi wa saba bado?
2 Reactions
55 Replies
5K Views
Ukiachana na honey au jina lake la ukoo ume msave jina gani Huyu natumia FYI
3 Reactions
65 Replies
4K Views
Wakuu habarini! Nimeona ni vyema kuwashirikisha mkasa huu uliogeuka furaha baadae. Leo bana, mida ya saa mbili usiku huu nkitokea dukani, kwa bahati mbaya Sana, nilikuta fedha pungufu ( yaani...
2 Reactions
15 Replies
955 Views
Habarini za jioni wakuu na poleni kwa miangaiko ya siku nzima ya leo, rejea kichwa cha habari hapo juu kisha dondosha comment yako ukiifafanua kwauelewa wako. Binafsi kipimo cha mafanikio kwangu...
0 Reactions
5 Replies
885 Views
Kwa nini wanawake wa siku hizi wanawahi kubana korodani katika ugomvi? Kwa nini wanapenda kutoa maneno ya kashfa kama vile: 'huniridhishi(hata kama unamridhisha), una mambo ya kike n.k? Hiyo...
0 Reactions
6 Replies
419 Views
Salam wote jf Direct to the topic... Je ni utafiti gan ulioufanya kwa kichwa chako ukijumlisha na your daily life experiences na unajivunia. Binafsi utafiti wang nilioufanya na najivunia kwa...
2 Reactions
29 Replies
2K Views
Kwa upande wangu huwa naendelea Jukwaa la : Hoja na habari mchanganyiko Elimu Uhusiano, mapenzi na utafikia Teknolojia Jokes pamoja na doctors.
0 Reactions
13 Replies
653 Views
Mambo ya kutafuta bwana, leo ninetoka kapa katika harakati za kutafuta, kifupi sijaingiza hela yoyote leo.
4 Reactions
26 Replies
2K Views
Habari wadau Ukweli ni kwamba miaka mia moja nyuma hatukuwepo na baada ya miaka mia moja mbele hatutakuwepo (so sad[emoji24][emoji24]) "Kila nafsi lazima ionje kifo"[emoji24][emoji24] Sasa je...
7 Reactions
63 Replies
3K Views
Wakuu tupeane location kwa hapa Arusha kiwanja kilichotulia Cha kimyakimya.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…