Wakuu kwema.
Nipo mitaa ya Tabata na viwanja vyake huu usiku. Nilikua nauliza "huduma za kijamii" huku Zinapatikana wapi? Eneo zuri kidogo sio kama lile la Ubungo Riverside au Corner Bar watu...
CHAPUTA (Chama Cha punyeto Tanzania) kimepata pigo baada ya serikali yao pendwa kupiga ban vichocheo vya kazi yao, yaani picha na video za raha utamu.
Wanaendelea kuiunga mkono serikali lakini...
Hivi imewahi kukutokea? Una hali ngumu mno...... halafu watu wote waliokuzunguka wanakuona una hela!?!.
Na wanakuchukia sababu wanaamini unawanyima au unawafanyia midhaha. Wakati ukweli ni kwamba...
Mashuleni, vyuoni wamejaa wao
Nyumba za kupanga wamejaa wao
Maeneo ya biashara wamejaa wao
Makazini wamejaa wao
Mashambani wamejaa wao
Mahospitalini wamejaa wao
Nyumba za ibada wamejaa wao...
Wasukuma wanao ule SENSEMA MALUNDE,
Wasambaa wanao wa SEGERA JADAMKA SINA UNGOYA
hebu tuongeze ongeze ili tuzitafute ambazo tutaweza kuziweka hapa, hata watoto wetu wajue kuwa na sisi tulikuwa na...
Enzi hizo miaka ya 1993, 1994, 1995 ikifika saa 11 kasoro jioni kale ka mlio ka ndege kanaanza kulia. Ikifuatiwa na muziki mzuri wa reggae hasa Luck Dube. Those days were so beautiful and...
1. Diblo Dibala (Soloist)
2. Bileku Mpasi (Rapper)
3. Allain Kounkou (Dancer)
Naamini wakisajiliwa tu na hawa Watatu basi Waimbaji maarufu wa Bendi yenu ya Jangwani Music FC Band kama akina...
Top 10 ya kauli zenye changamoto.
1. Hata nyasi mtakula, ndege ya rais lazma inunuliwe- Mramba
2. Foleni Dar ni ishara ya maisha bora - JK
3. Acheni wivu wa kike - Msekwa
4. Asiyeweza kulipa...
Nilikuwa na Masai flani Hawa wa Morogoro akaniambia Kuna mfalme wa wamasai tajiri la kimasai anaitwa Mataiyaa Mimi sijawahi kumsikia huyu mataiyaa ila inasemekana Ni mganga wa kienyeji wa kimasai...
Damn Cha fasta fasta kitamu balaaaaa [emoji18]
Je ushawah kujaribu cha fasta fasta? Utamu wake Ukoje [emoji2957]
Please tumien Tafsida Kuilinda post yangu isifutwe na JF [emoji22]
Habarini! Kuna msichana nilimtupia voko wiki chache zilizopita, tulikuwa tuna-chat na alionesha kuanza kunielewa. Sasa jana usiku kanitumia hiyo text, kuna mtu mwenye experience na hili? Mimi nipo...
Walevi wawili waliokota kioo, mlevi wa 1 akaangalia muda mrefu kisha akasema "hii sura sio ngeni machoni mwangu sema jina tu silikumbuki..! !!
Mlevi wa pili akamnyang'anya kisha nae akaangalia...
Nataka kuoa ila mwanamke nilienae pasua kichwa sana. Nafirikia nimiache nitafte mwingine ila nahisi sitawamaliza na huenda huyu ni afadhali ya huyo next. Tatizo kubwa la huyu ni kuwa hataki kuona...