Wanajamii habarini
Naombeni ushauri Kuna Dada huku JF kaniomba nimtumie nauli anadai ametokea kunipenda sana na huwa haishi kuniota ndotoni ila anasema nimtumie nauli 1 million hajawai panda...
Kwanza ikifika asubuhi anatoa nguo zake nimnyooshe ili avae kwenda kazini na kinacho niuma zaidi wamekua na desturi ya kwenda kuoga bafuni (public bathroom) na mkewe (dada yangu), na wanapokua...
Sielewi shughuli zingine zina nini ..lakini
Mtu akijiingiza Tu huko na tabia inabadilika moja kwa moja ...harusi tena kuwa Yule wa zamani...
Hii kazi ya udalali hapa Dar ..mtu akishajiingiza Tu...
Je, ukiachana na pesa ni kitu gani kingine huna?
Ukiachana na pesa ni kitu gani kingine unachokitafuta?
Ukiachana na pesa ni kitu gani kingine kinachokupa stress?
Ukiachana na pesa ni kitu gani...
Salaam,
Natumia hii account kwa mara ya tatu leo kwasababu maalum.
Mada yangu leo inawahusu warembo wa JF, jamani huu ukurasa hauna warembo wazuri? Nimebahatika kufahamiana na kukutana na watatu...
Kiukweli humu JF sio kila mtu unamkubali na kumpenda kuna baadhi ya member wanakuudhi na kukukera ila hauna pa kutolea na kuwapa ukweli wao na aidha unaishia kutukana na kupewa Ban isiyo ya...
Niliwahi kusikia kuwa maji na mafuta havichangamani, na pia mafuta huwa yanaelea juu ya maji.
Basi jana mimi nikaamua kupaka mafuta mengi tu miguuni kisha nikaingia baharini ili niweze kutembea...
USILETE UTANI KATIKA MAPENZI
Mdada mmoja alitaka kujua kiasi gani anapendwa na mume wake, hivyo akataka kujua mumewe atafanya nini endapo ataamua kuondoka na kumuacha!
Mwanamke huyo akaamua...
Mtu unakutana naye mara ya kwanza kabisa,hamjawahi hata kuonana au kuongea nae lakini akiingia kwenye ofisi yako utasikia anakwambia
¶[emoji2788]"Nilikuwa naulizia kazi"="I was asking for a job"...
Wakuu kufuatia tangazo la Serikali kwamba marufuku mtu kupanda kwenye chombo cha usafiri bila barakoa, vipi linazingatiwa huko ulipo?
Mimi huku daladala za Gongo la Mboto hamna kitu, maisha ni...
Copied;
Hivi jamani, nifanyeje ili niogopwe na wasichana? Yaani wawe na hata ile hofu wanaponiona, nipo chuo mwaka wa 2. Inafika kipindi nataniwa hovyo hovyo hata kama sitaki.
Pia naitwa majina...
Kwa wakazi waliozaliwa hii kata salawe-shinyanga ,naombeni sifa za wakazi wa salawe nmehamia huku kiutafutaji. Cha kwanza nianze kijifunza lugha ya salamu (kisukuma) .
Original Fun Memes from JF Community
#Ndugu wakala, nimekuja kutoa salamu[emoji16][emoji16]
#Utakuta Grace Mushi a.k.a Neema ndiye aliyechomoa betri morogoro
Hii ya juzi ilikua Part...
Nikiwa primary nlikuwa mtoro saana na mtukutu
Kuna siku nilitoroka shule na "masela" wangu mida ya kama saa5 tukaenda kuiba miwa kwenye shamba la mzee mmoja hivi lipo karibu na shule.
Sasa basi...
Habari zenu wana jf ,imani yangu ni kwamba mko na afya njema.
Leo katika kuchimbua chimbua store yangu ya movies,nimeitazama filamu ya Sarafina.
Nimekutana na msemo fikirishi wa mwalimu wa...