Leo nimepata kazi Kama utani nilienda kunywa pombe kwenye grocery fulani mtaani jamaa mwenye grocery Ni mwanajeshi mstaafu alikuwa na yeye amelewa akasema haiwezekani grocery ikose chips...
Tumesemwa sana kuhusu Tecno zetu aisee, hatimae Phantom x,ameanza kuokoa jahazi[emoji108]...
This week naenda utafuta,nionje utamu wake maana nimeiona tu kwa bestie...
Picha kaliiii, screen tam...
Acha dharau kwa watu wenye hadhi ya chini kumbuka hakuna boss atakuja kuchafuka na vumbi akuchimbie kaburi..hao unaowaona ni watu wa maana hawawezi kuja kukusalimia ukiwa umelazwa ila ukifa tu...
Mwenyezi Mungu akipenda inshallah mwezi wa 12(tarehe sitaji) mwaka huu(2019), nitaingia rasmi katika kundi la wahenga. nitatimiza miaka kadhaa ya kuzaliwa kwangu.
kiufupi uhenga sio jambo la...
Jana nimerudi nyumbani ghafla nikakuta housegirl anamnyonyesha mtoto wangu wa miezi nane. Nilipaniki mno maana kuna hatari ya kumuambukiza magonjwa.
Kujitetea akasema alikuwa analia sana...
Niko sehem nimekaa hapa, yani wanaopita ni wanawake wengiwao, halafu wazuri! Yani Dar bana
Mpaka nafikiria huko mikoani watu wanaishije? Wanakosa mengi sana
Wakuu habarini, weekend ikifika watu waliokuwa na michepuko wanakuwa na kauli mbali mbali ilimradi waweze kutanua wakiwa na hao wapenzi wao ambaye sio wewe, mfano wa kauli zao ni>
1. Leo...
Poleni na majukumu ya mwisho wa mwaka wadau.
Niseme tu nimezunguka maeneo mengi sana ya starehe hapa DSM mengine ya kistaarabu na mengine ya kishenzi ila sijawahi fika beach kidimbwi.
Kwanini...
Jana nilifanya kitu tofauti kabisa na mazoea..lakini nikapata matokeo ya kushangaza mno..pishi zima ndani ya jungu moja
Ubao ulikuwa umebana kisawasawa kutupia macho kwenye jokofu kuna haragwe...
Kilichomkuta, sidhani kama marehemu alitarajia, maana kaanguka kimo kirefu kutoka kwenye matawi aliyokuwa akipunga upepo.
Wenzake walimwona kwa mbali hawakujua hata jina lake. Ama kweli maisha ni...
Kuna wanawake wakorofi bhana. Tena ukorofi unawazidi pale wanapojua huyu hawezi kunipiga.
Na wanaume tunavyojua kutunza siri ukipigwa hupigi kelele majirani wasije wakaskia...unajikalia kimya...
[emoji117]Ukiruhusu mitandao ya kijamii itawale maisha yako na mpaka inafikia hatua ikuamulie jinsi ya kuishi hutaweza kudumu na mwanaume yeyote hata Mungu akuletee...
Baada ya walevi kuamua kuwa na uzi wao maalum sasa ni nafasi muafaka kabisa kwa wale wasio tumia vilevi, isipokua vinywaji laini laini tu kama maji, juice, chai na hata bila kuwatenga wale...
Hamna mtu asiye na tabia mbaya, wote tunazo, za kurithi, za kujifunza na za kuiga.
Kila mtu anayejijua vyema, huwezi ukawa mwizi halafu usijijue.
Huwezi ukawa kicheche halafu useme eti hujui...
Wanajopu tupeane uzoefu kidogo hapa je ni sehemu ipi nzuri kwa kumtoa out mwanamke mnapokuwa katika uhusiano wa mwanzo ili afurahi na aone umemtendea vyema.
Nikifikiria kwenda naye club nahisi...
Habari za wakati huu wadau wa Jamvi letu pendwa JF.
Eeeh bhana niko kwenye mtoko wa pekee yangu huku mkoani kwetu. Sasa hapa kuna ki pub kimoja hapa, sasa kafika jamaa mmoja hivi kajaza hicho...
Ni jambo la ajabu sana sikuwahi kusikia. Ila kuna jogoo anasumbua sana. Anawika muda huu. Hivi hii ni kawaida kweli?
Ningekuwa mmiliki ningemchinja akawa kitoweo, anafanya ujinga sana