Iwe hivi sasa...
Bila kujali muda na Umri wako Jf
Chit chat iamke!!
Wakongwe na Wasasa Hoyeee.
Nitakuja na list muda sio mrefu.
To be continued...
By the way hii forum inaendelea.
Kwa picha...
class mates wa shule ya msingi / secondary
marafiki wa utotoni / secondary
Majirani
n.k
Mimi huwa nikikutana na mtu wa muda mrefu huwa nadeal na haya mambo
Nimefurahi kukuona baada ya miaka...
Wakuu habari,
Tunamuomba rais, aweze kushirikiana vyema na kitengo cha hali ya hewa Tanzania, Ili kuweza Kupunguza ukali wa jua la hapa dar. Hapa dar jua ni Kali sana na linachoma angel zote za...
He'll bosses,
Wale tulio na games kwenye devices zetu, ni game gani unacheza sasa
Mm sio mpenzi sana wa games lkn sometimes na cheza mara nyingi napenda ku cheza game amambazo zina run online...
Amani iwe nanyi waungwana...
Haya maswala ya kuigaiga na kujifanya over confidence kisa Umeona kuna watu wa aina fulani, niwaonye yatakuja kumtoa mtu uhai!.
Kiberenge wa watu nilikuwa nimeenda...
Kila nikisikiliza redio moja nasikia tu watu wakishinda pikipiki na milioni mbili au kashinda milioni tano na bajaji, yaani full kuokota.
Ila sasa ukijaribu kucheki kwa sura nyingine ni kama...
Now nimeshangaa kuona wachawi wapo live kabisa hakuna wanachokiogopa tena yaani hakuna kabisa af wajinga wachache wanaingia king mm japi najua kusoma nyota ila kamwe siwezi ingia live na ili...
Mbona madhabahu na injili inavamiwa na washamba sana, yaani akili ya kusoma vifungu vya bible, na hizo lukutu lakata leketee feki ndio wanajifanya na kujikuta wanajua kila kitu, mahusiano wanajua...
10. Kifo cha mtoto albino mkoani Kagera
9.Kutekwa kwa Sativa
8. Msigwa kuhamia ccm
7. Makonda kurudi kwenye mfumo
6. Kifo cha mzee Mwinyi
5. Yanga kuifunga Simba mara 4 mfululizo.
4...
Na mende msafi
(mwandishi hana nia yoyote mbaya, lengo ni kufurahia maisha muda huu ambao vyuma vimekaza)
Tuanze……
Episode 01
mshana jr: (huku akinyoosha kidole upande wa mbele yao) mkuu...
Inasemekana!
Kwa Sasa unaweza ukausaka utajiri na usiufanyie jambo lolote la maana kwenye Jamii!?
Matharani ukipata $2,000,000 utafanyia nini!?
Naomba kuwasilisha
Kuna watu wakisema uongo Huwa wanatetemeka balaa ila Kuna wengine asalaleee!! Anadanganya macho makavuuuu hata kupepesa hapepesi.
Hivi nguvu yenu Huwa nini hasa!?. 🤔
Kila shabiki kuna namna alianza kupenda muziki na hatimaye akajikuta hawezi kutoka tena!
Mi nakumbuka kwenye 90s mzee wangu alikuwa na music system ambayo alitoka nayo Russia na alikuwa akiplay...
Itifaki imezingatiwa,
Wakuu, binafsi chanzo cha kutumia id-enter passcode ni shemeji/wifi/mtoto/mjukuu wenu, simu niliijaza pass words mpaka akitaka kufungua app yoyote inamdai aingize codes...
Wakuu samahani naomba kuuliza na kujuzwa wapi walipo hawa member wa kitambpo wa JF?
Walipatwa na umauti?
Walibadirisha ID?
Wako wapi?
GUDume
Zero Iq
Joseverest
Na wengine wengine wakongwe wa JF
Nipo mbeya kwa ajili ya mambo yangu ya kifamilia.
Nimekutana na mambo ya hovyo sana, nikasema ngoja niwaulize wadau.
Jamani eti kunywa beer 20 pekeyako ni starehe au ni stress.
Conclusion yangu...
Katika familia nyingi za kiafrika ukali kutoka kwa mzazi mmoja au wawili, hasa baba imekuwa kama desturi kwa baadhi ya familia.
Hali hiyo inaweza kusababisha watoto kuwa na hofu na wasiwasi...