Demu wako kaenda kukutambulisha kwao kufika getini unakutana na dada yake ambaye ni demu wako wa zamani kidogo unamwona kaka yake ambaye ulipigana nae kwasababu alikufumania na demu wake...
An 8 year old son asks her dad, "What's
the difference between 'Potential' and
'reality?'" Dad turns to wife, "Would you sleep with
Barrack Obama for $1 million?'' Wife answers, "Of course, I...
Wafuatao ni baadhi tu ya Wanyama na tabia zao, ambazo Mimi, wewe tunazo na wakti mwingine ni vikwazo kwa watu wanaotuzunguka.
1. PUNDA: anaposema "Siendi" haendi hata umpige na gogo la mbuyu...
Q. Why do lazy people always claim to be perfectionists?
A. Because they always take the lazy way out
---
Q. Why do ignorant people always have the most to say?
A. Because they think they know...
An Elder was asked to preach in church for a Sunday Service.
His sermon was as follows:
Dear Brothers and Sisters!!!!! Today I want to talk about
a piece of
meat.
THAT PIECE OF MEAT...
Madame B, hata haka kautepe ka BRONZE jamani kanakushinda....!
Jina kuubwa, lakini unatuangusha bana, hebu sema na shemeji akuondolee hii aibu....... LOL
Copy to: Paloma, amu, Asprin, na...
Ndugu mwenyekiti wa chama cha punyeto Tanzania [CHAPUTA], Makamu mwenyekiti CHAPUTA, Katibu mkuu CHAPUTA, Viongozi mbalimbali pamoja na wanachama wa CHAPUTA, Mimi Shadow7 nikiwa na akili zangu...
Nilikutana nae mtandaoni si nikajipinda kuomba picha nikijua naopoa pisi kali kumbe pisi kombe!.. na hii ndo picha yake
Baada ya kuiona sikujibu chochote zaidi ya kumuwekea haka ka video
Tuwe...
Hivi kwann mademu wakali siku hizi ni ngumu Sana kuwapata kwa baadhi ya sisi vijana tusio na hela, nimekuwa nikisoma nyuzi za member mmoja wa humu anajiita Zero IQ, Huyu jamaa anasemaga anawala...
Hii kusema kwamba mke mwema anatoka kwa MUNGU naikataa kwa kweli kwa sababu hao wanawake wema Duniani hapa nahisi wamebakia wachache mno.
Sasa cha msingi bora tu ukiona umechoka kulala peke yako...
Hakuna bia nilikua napenda kama castle milk 6.0 vol, nakumbuka 2015 nilikua napiga mwisho 3 hapo lazma nizimie kitandani.
Siku hizi naoana zimerudi zikiwa maji kabisa,bora Guinness mls 300 unywe...
Huu ni uzi maalumu kwajili ya kupeana directions mbalimbali za sehemu tunapoenda ili kuepusha usumbufu unaoweza kuepukika au kupelekea mgeni kupotea kabisa.
Naamini JF ina members kutoka pande...
Tuseme hata usiku ukiwa macho Jambo lipo ambalo linakusumbua Sana akili katika aspects mbalimbali na unaliwaza Sana
Mimi katika Mambo ya mahusiano nawazaga Sana kuhusu mchumba wangu flani ninataka...
Tambua Dalili za kujinyonga
Police Tabora yatangaza kuwasaka wanaotegemea kujinyonga. Zifuatazo ni baadhi ya viashiria vya anayetaka kujinyonga
1. Kuzungumza kuhusu kujinyonga
2. Kujitengatenga...
Maisha yana matukio mengi ambayo yana muunganiko wa moja kwa moja kwenye hisia zetu, hivyo unapoyakumbuka unaweza patwa na hisia ya huzuni au furaha.
Hivyo leo tukumbuke matukio ambayo tuliwahi...