Ujumbe kwako kipenzi cha roho yangu hazard,mwanaume nikupendae kwa dhati.
Mwanaume ambaye sijawahi kuacha kukuwaza.Wewe ni zaidi ya mwanaume,hakuna mwanaume yeyote duniani anaweza kunielewa zaidi...
Huu ni uzi maalum kwajili ya kukumbushana baadhi ya vitu vidogo vidogo ambavyo huwa tunavipuuza lakini kuna muda vinaweza kutucost sana na kutusababishia matatizo. Inaweza ikawa iliwahi kukutokea...
Kiuchumi hii ni njema sana, sijui kiafya ikoje!
Utasikia watu wakisema ukichanganya bia unalewa fasta, binafsi nilidhani tofauti ya bia ni majina tu na viwango vya kilevi ila viambata vingi ni...
A. Miiko yao kuhusu wakwe ni ipi?
B. Wanawaheshimu wakwe kwa kiasi gani?
C. Utamaduni wao kuhusu sherehe za harusi au msiba ni upi?
D.majina yao ya asili ni yapi ? Angalau matatu!!!
Nisaidieni...
Watu wote nawasalimia hasa wenye Imani kwa mwenyeziMungu napenda kuwasihi kama hujapata nafasi ya kwenda kusali swala tano Basi angalau ijumaa uende masjid nyie Ni ndugu zangu lazima nawashauri...
Hamna Mwanaume rijali asiyetoa hela yake kwa msichana tunaliwa wote, embu UWABATA wa kweli ajitokeze aseme Kama hajawahi kuhonga.
Dhambi zote Ni biashara na biashara zipo kila point katika Dunia...
Kuna katabia kamoja kabaya sana naona kanaanza kuota mizizi. Unakuta mkuu kauliza swali kwa mtoa uzi au mtoa hoja. Mkuu mwingine anatokea na kumwambia "akikujibu nitag" na yeye anasema poa. Sasa...
SIKU HIZI KUNA KATABIA NAKAONA BAR
Umeenda zako mahali unapiga gambe na meza imependeza anatokea jamaa kapendeza na kaweka ufungua wa gari kiunoni anajisogeza na bia yake moja story nyingiiiii...
The married couple were in the middle of an argument.
Husband: "Do you know the meaning of the word WIFE? It means 'Without Information Fighting Everytime!'"
Wife: "You're wrong, it means 'With...
Teacher: "Whoever answers my next question, can go home."
One boy throws his bag out the window.
Teacher: "Who just threw that?"
Boy: "Me, and now I’m going home.
Week yote hii napata shida kuhema yaani engine yangu ya mapafu nahisi Kama ime block halafu kwenye Koo Kuna uzito flan Kama vile mafuta ya mboga yameganda.kifua kimekuwa kizito lakini nawaahidi...
Wajameni eeeh siku ndio hizo zinajivuta, Hebu leo fanya kuchagua wa kwenda kutembea nae siku ya valentine kutoka humu humu Jf.
Na ukimchagua anaweza kukubali au kukataa pia na ikitokea mpo wengi...
Yaani sisi tuna nidhamu sana.
Viongozi wa JF tunaomba mtupandishe cheo kabla mwaka haujaisha, hii ikiwa ni sehemu ya kutupongeza na kuwashawishi wale wanaopata banned.
Imekuwa tunalinganishwa...
Kuna mdada nilimkopesha pesa kwa ahadi kuwa baada ya wiki moja atanirejeshea pesa zangu.
Baada ya wiki moja nampigia simu hapokei simu zangu, nimempigia zaidi ya mara kumi (10) bila ya mafanikio...
Kila mtu ana weakness yake sasa ebu tuseme leo tuone kama hivi vitu huwa vinafananaga kwa wengi.
Mimi bhana weakness yangu ni churaaa yani churaaa nikipishana na mkia haswaa lazima nigeuke nyuma...