JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kila Mtu Aongee Uongo Wake Hapa Naanza Mimi Nimesoma Na Barack Obama
3 Reactions
104 Replies
12K Views
Wajomba kama unajua kazi ya hiki kifaa nenda katubu kwa Muumba wako haraka sana.
2 Reactions
28 Replies
3K Views
Na clear interest kwanza me nawakubali kinyama wote Hawa ndugu zangu recycle Bin na ndugu Kichwa Kichafu au mnaonaje si tuwape madini na connection Hawa vijana Ili Wapate kusumbua kidogo huko...
2 Reactions
15 Replies
696 Views
Weeekend hii Kama uko free nambie nikupitie tukalewe Taja location Ntakupitia hapo
2 Reactions
47 Replies
4K Views
Wana jf makaka na masister mambo vipi? Poleni na Siku za wiki za mikiki mikiki, leo weekend siku ya kuchangamsha ubongo, na kwenye meza pachangamke alooo, Kidogo machozi ya Simba, mishikaki...
4 Reactions
31 Replies
2K Views
VICHWA VYA HABARI MIAKA KUMI IJAYO NA KUENDELEA .. TBC HABARI 2030: Ndugu Tundu Lisu aapishwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kuwa rais wa kwanza kuongoza nchi hii kutoka chama...
9 Reactions
24 Replies
4K Views
Habari za wana jf naona ni vema Tukiwa wanafunzi tuliamini kwamba labda kijana Fulani kutokana na usmartness wake atakuwa kiongozi Fulani wizarani, au anaweza kuwa kiongozi mkubwa baadae, Kwa...
24 Reactions
299 Replies
36K Views
Ni miaka ya 2006 kushuka chini nilikuwa naletewa Sana haya majarida na mjomba wangu .Haya majarida to be honestly yalikuwa yanafundisha kujikinga na ukimwi lkn kwa upande wangu mm ilikuwa tofauti...
3 Reactions
34 Replies
3K Views
Wakuu Maisha yanabadilika sana. Wale wakazi wa Masaki na O'bay leo hii wao wako kwenye hadhi ya manispaa na wakati huo huo wanangu wa malapa, kwa mnyamani hadi chanika na kigogo fresh ndio jiji...
10 Reactions
20 Replies
2K Views
1.Pombe-sitakubali mke wangu anikute na harufu ya pombe kitandani. 2.Magoma-ndo maana mademu zangu nawaambia kabisa me na mchumba nayetarajia kuishi naye hivyo wawe wapole Natokea UWABATA ila...
2 Reactions
6 Replies
861 Views
Hii inatukutanisha sisi mabingwa wa kauli,,, kauli Udambwi udambwi Kauli mantanshanta ,kauli muunganiko Ingekuwa kwenye hip hop basi ungweweka kina Msodoki au Stamina na Vijikauli vya Yaani...
0 Reactions
1 Replies
505 Views
hivi kusalimia ni lazima hata ukiwa kwenye chombo cha moto unaendesha maana unakuta wanalalamika unawapita tu bila salam wakat ulikua unadrive
0 Reactions
30 Replies
2K Views
Wasaaalam wana jf Kuna siku n asubuhi na mapema niliamka nikaenda kuchukua malanda, haya ni yale mauchafu mafundi selemala wanayapata wanapofanya shughuli zao za kulanda mbao. Siku hiyo...
1 Reactions
1 Replies
595 Views
(1)Kutoka kwingi na hupati faida yoyote. ina maana gani kuhudhuria kila sherehe hata zile ambazo hujaalikwa? Kama una utaratibu wa hivyo acha mara moja fanya vitu vingine. 2.Kuwa na mahusiano...
3 Reactions
35 Replies
2K Views
Nawasalimia wana Jf kwa tabasamu [emoji4] ohhho kumbe nimevaa barakoa 🤣 Anyways miaka ile ya black and white wahenga sisi tulikuwa tukitoka maskuli hasa tuliokuwa tumebahatika kutoka bush kuja...
8 Reactions
14 Replies
1K Views
Ni kwasababu watu wengi wanaamini dini. Dini zote zinasema kuna uchawi. Asilimia 84 ya watu duniani wanaamini katika dini tofauti tofauti, by law of association (not to be confused with the...
1 Reactions
3 Replies
783 Views
Msichana anatakiwa aingie kwenye ndoa akiwa na umri gani na pia aanze kuzaa akiwa na umri gani? 20, 21,22, 23, 24, 25,26 au 27?
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Habari wakuu, Za asubuhi. Happy sabbath day kwa wasabato but all in all we thank the almighty kwa weekend nyingine tena. Nimecreate thread hii spesheli kwaajil ya kupeana codes za sehemu...
1 Reactions
33 Replies
2K Views
Habari wandugu, bila shaka asilimia kubwa ya watu waliomo humu ni wanaume. Hebu mje tujadili mateso tunayopatiwa na wake zetu na jinsi ya kuyaepuka.
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Samahani nimekuibia siriya Usalama wa Taifa, Eti Bi Kidude ameacha watoto wawili tu, Pinda na Wasira!! tafadhari usimwambie mtu. Watakung'oa kucha bila ganzi.
1 Reactions
20 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…