Hello . . .
Kama mnavyojua aisee , Wanaume tunayo majukumu mengi sana katika kipindi hiki cha sikukuu inafika kipindi kichwa kinauma hadi unatamani siku zipite fasta. All in all huwezi kukwepa...
Nilipowatembelea baadhi ya marafiki zangu kuna vitu vya ajabu nimekutana nazo. Vitu hivi vinachekesha na vingine vinaogofya ama kutisha.
Kuna mmoja nilikuta geto yake ana kitanda cha hospital...
Kuna wakati kipindi Cha huzuni kinakua kirefu kias kwamba hata ujaribu kua strong kuna mda u just can't take it anymore.
May the good Lord remember all the unhappy souls.
Heri ni siku yako mzeebaba Ollachuga Oc keep fighting bro everything is yours believe in plan A[emoji3][emoji3][emoji3]
#ShabikiNguliWaChelsea..
#CFC[emoji170][emoji170][emoji170]
Ifuatayo ni misamiati inayotumika kwa wingi na pengine kwa upekee tu hapa JF kiasi cha kwamba ukitumia kwenye mitandao mingine ya kijamii unaweza usieleweke;
Mkuu
Chattle wakiamaanisha Chato...
I searched the heavens and the earth, I found none whose charm and beauty I can compare to you. You bring so much joy to my heart, I want to do same for you, as long as I live if you take me as I...
Unajua wabongo wengi tunawaza kiswahili, na tukitaka kuongea kingereza tunaanzia kwenye kiswahili kisha kingereza.
Sasa kuna vioja ambavyo huwa naviona watu wanajitutumua kwenye mitandao
Mfano...
Wanaume wenzangu naomba tupitishe azimio la pamoja kama ifuatavyo:-
1. Kuanzia 2021 hakuna kumtumia Demu nauli, hata kama ni 400/=
2. Hata kama umemtumia hela, let say ya matumizi hakuna...
Hello! Habari za purukushani za siku? Kijana wenu mtafutaji kwa mara nyingine. Pole kwa wenye matatizo na shida mbali mbali Mwenyezi Mungu awajalie, na kwa wale wengine Mungu atuepushe na matatizo...
Stress ni nini?
Stress ni pale unapotia mimba mwanafunzi,
Ubishi ni nini? Ni pale unapokataa kuwa mimba sio yako, Doctor anaamua kukufanyia vipimo.
Bahati ni nini?
Bahati ni pale doctor...
Habari Mabibi na Mababu,
Hapa JamiiForums ni sehemu ambayo imekuwa ikitupa maarifa, connection, dili mbalimbali, wachumba, marafiki, ucheshi nk.
Nimefanya kautafiti kadogo nikagunduaa ata uwe...
Mwenye kujua neno au maneno ambayo ukiyasoma au ukilisoma neno hilo kutoka kushoto kwenda kulia ni sawa na kutoka kulia kwenda kushoto.
Naanza na hili : Uvivu
Tuendelee waungwana....
Hakuna ugomvi wowote mpenzi wako anakutumia ujumbe kama huo. Upepo wa december mtu anahitaji likizo [emoji23][emoji23] nmecheka sana hiki ni kituko cha aina yake kwenye mahusiano.
Share kituko...
Mimi Doctor Pancho,
Kuelekea mwishoni mwa mwaka na tunakaribia sikukuu hizi.
Kwa wale niliowakwaza kwa namna moja ama nyingine,
Ama hata kuwatusi maana mikwaruzano kwa binadamu ni kawaida.
Hivyo...
BABA KANIPIGA SIMU MAMBO YAKAWA HIVI.*
Baba: Mwanangu ni nini kinaendelea hapo shule?
Mimi: Maandamano
Baba: Na wewe umeungana na wenzako?
Mimi: Hapana
Baba: Vizuri sana mwanangu...