Wapare
wanaume:
1. wanapenda nguo za dukani
2. wanapenda kuulamba
3. wanapenda kajiheshima kwa watu
4. wanapenda sifa
5. wanapenda sana ngono na hasa kudanganya visichana
6. wanapenda kuongea...
Hakuna demu wa kishua aliyekuwa mbaya, wote ni wakali..
Jana nilialikwa na mchizi wangu sana tuliesoma pamoja sekondari. Yeye anaishi maeneo ya Oesterbay na familia yake. Ukizingatia location...
Zero IQ Niko dodoma toka Jana nakula kuku tu uko wapi zero? Totoz wa Dom njoon basi Niko hapa Rainbow mle maisha Mimi nimjumbe njooni tule hela za watia nia
U wapi mama sabi, uloteka moyo wangu.
Unifanye niwe Hubby, chema chako kiwe changu.
Nikiiweka ahadi, zaidi ya yakizungu
Mama sabri uko wapi, unitulize machungu.
Nilipenda avatar, nikachanganywa...
Wapendwa hvivi inatokeaje mwanaume akipishana kidogo na mkewe anamuita wewe kama Mwanamke wa bar? Halafu kibaya zaidi Huyo mwanamke anatusiwa mbele ya mkwe wake, what kind of day man? na unambiwa...
Habari za masikuuuu.
Kuna kisa kimoja hivi kilinitokea juzi nikikumbuka nacheka Sana, Kuna binti mmoja hivi anafanya kazi Pharmacy "Duka La Dawa", nimemfatilia tokea mwezi wa tatu hivi lakini...
Baada ya kukubaliana na mchuchu wangu kuhusu ile show ya wiki iliyopita kurudiwa tena kutokana na game ya kwanza kuisha kwa matokeo ya 2-0, mhuni nikiwa na aggregate ya goli mbili mkononi huku...
Ile kujifanya wife material na usimuone amekupendea hela inabidi wajibanebane asiombe hela angalau mwezi, huku wanatamani kuhongwa balaa na kukutengenezea mazingira ujiachie akupige kirungu cha maana
Habari katika natumaini Tu wazima na wenye Nguvu,
Mimi kama Great God niliechagua kutumia jina la Mwenyezi MUNGU maana bila hatujui wengine tungekuwa vipi humu bali ni yeye ndo anajua,
Mimi...
Habari za usiku huu wapendwa katika Bwana Natanguliza shukrani zangu za dhati Kwa Mpendwa wetu Aliyetutoka Mh. William Benjamin Mkapa pia Umomi R.I.P🙏🙏
Baada ya salamu hizo niingie sasa kwenye...
Wadau hivi haijawahi kuwatokea kuna mtu mnakutana naye na kila akikuta anakukuta na nguo zile zile yaani ata mkae miezi miwili alafu siku ukikutana naye anakukuta na nguo zile zile yaani unatamani...
Aaahahahahahahaa naanza na cheko, heko cherekooo aahahahahaaa
Ati ananitumia dedikesheni, ooh Kasinde mie siwezi kuhema
Mapigo ya moyo yanashuka kila dakika
Mwili hauna nguvu
Sijala tangu jana...
Wakuu nina rafiki yangu wa kike ambaye namkubali sana but hatuna mahusiano yakimapenzi (japo some time nakuwa na hisia naye but najizuwia mana ukiendekeza mihemko ya kimwili waweza mtongoza hadi...
Niko naangalia video music ya Harmonize hapa ya "Falling in love". Kamtumia mke wake yule muitaliano kama Video Queen.
Dah mweupe balaa kanikumbusha yule mdada wa miaka hiyo ya UDSM alikua...
Hello! Wana JF natumai mko poa,Husika na kichwa cha habari hapo juu kuwa huu ni zi maalumu kwa wale ambao wametoka sehemu fulani kwa kujifunza kitu kikubwa katika maisha(Hususani misiba).
Zipo...