Tuwaombee waliotutangulia wapendwa wetu hatujui tuendako safari yetu ni moja kila mmoja hajui safari yake itaanza lini na akiwa wapi tuombe rehema kwa Mungu sisi ni wakosefu mda wote
Marehemu...
Wakuu habari.
Niko nasikilizia hapa radio Free!. Kuna kipindi Cha mganga anajinadi kuwa kama una tatizo lolote yeye atakusaidia kulitatua kwa kupiga namba ya sim Aliyoitoa.
Anasema kama unashida...
Kijana mmoja alikuwa mlevi sanaaa, hali hiyo ya ulevi ikawa imemchosha akaamua aende kanisani ili akaombewe aache pombe.
Alipofika kanisani akaona ni vyema akae viti vya mbele iwe rahisi kwake...
Leo asubuhi nilikuwa na safari fupi kutoka Kili kwenda A-Town. Nilipofika stendi niliingia kwenye coaster ambayo ilikuwa imeshajaza abiria tayari.
Hivyo konda akachombeza kimtindo hapo nikakaa...
Bujibuji Simba Nyamaume Mwalafyale wewe ni mwenye kiti wa mtaa, unapoondoka bila taarifa kero za mtaa wetu tuzipeleke kwa nani.
Nyamaume ulipita kwa kura zote japo kulikua na figisu lakini...
Taja aina ya magari na jinsi utakavyoyatumia.
Kwa mfano:
1. La kwendea kazini!
2. La kwendea sokoni!
3. La kuwapelekea watoto shule!
4. La safari za mbali!
5. N.k.
Kiukweli mimi nimekuwa mtu wa kuchukizwa na vitu vidogo vidogo sana kitu kama like za min -me na raraa reree zinanikera sana sijui kwanini unaweza kufungua kwenye timeline yako ya jamii forum...
Habari wakuu, nianze kwa kuwapa pole kwa janga la kariakoo ni janga zito sana Mungu awatie nguvu wahanga wote katika kipindi hiki kigumu.
Nirudi kwenye mada, wakuu siku zinakwenda spidi sana...
Nitakuwa jijini dar kwa wiki 2 ,kuanzia disemba 1, kwa safari ya kibinafsi,ambae ni mwanachama wa jf na angependa tukutane ntafurahi sana.
Wasalaam
Fimboyaukwaju
Niko hapa kukusaidia kutengeneza programu bora kwa matumizi yako binafsi au ya kibiashara. Ninabuni websites na applications za kisasa kwa gharama nafuu na bei maelewano. Muda ni ndani ya siku 2...
Robert Heriel Mtibeli you are just a key board warrior, a typing merchant🤣
Eti sijui taita wa fasihi, my foot
Extrovert n fundi nyundo wa magari anajidai eti ana show room ya toyota🤣
adriz...
Picha za majengo na maeneo mbalimbali ya jiji la DAR ES SALAAM zikionesha mandhari ya usiku.
DAR ES SALAAM ni ndogo, usiku hutanuka.
Peleka utamu nyumbani
Jana ndugu Shy land ameamua kumpa maua yake ndugu raraa reree
Ila pia tusimsahau ndugu yetu mwingine min -me
Hawa wote ni wazee wa support za likes bila kujali ni nani wala nani.
Leo pia...
Habari za muda wana jamvi, leo nataka tufahamiane wana JF tunaotokea hapa Mwanza, unaeza uka comment mahali ulipo, lengo ni kufahamiana jamani, karibuniiii
Malaria 2" ni mmoja wa wanachama wa JamiiForums (JF). Kama ilivyo kwa wanachama wengine maarufu wa jukwaa hilo, mara nyingi jina lake linatajwa kwenye mijadala ya mtandaoni inayohusisha masuala ya...