Wanangu Wa Bachelor Of Art With Education Nawakumbusha tu,zile relationship zetu za Chuoni zilianza Kufa Baada Tu Ya Kuhitimu Chuo,Na Wachumba Wakaolewa Nasababu Inajulikana Kabisa.
1. Poor...
Nimeikumbuka leo nimebaki nacheka tu.
Ni siku ambayo haikuwa rahisi kabisa kwangu ilikuwa ngumu mno, ILINICHUKUA ZAIDI YA MIAKA MIWILI NIKIWA NA WAZO TU LA KWENDA KUPIMA NA SIKUWAHI KWENDA...
Habari za muda huu wakubwa, I hope mko fresh kabisa, safi kama safi, safi kama poa, Poa kama good, Hivi kama hivi yaani..Anyways acha niende direct kwenye mada.
Bas bhana kuna teacher mmoko enzi...
Mnijuze ukitoka, na Mimi mwenyewe nacheki mdogomdogo kwa njia ya sim banking hapa.
Hapo mia naitupia play master nacheza online slots nikipata faida mia mbili itakuwa mia tatu. Nagawa kwa...
Tabia ya wanawake kuwaita wenzao Baby, mpenzi, sweetheart, Luv****
Waacheni wafarijiane.. waoaji ndiyo hawapo.
Sasa yale majina walikuwa wamepanga kuwaita waume zao yamekwama wafanyaje...
Niaje Wajuba?
Heri ya siku wa Kina Baba duniani japokuwa ilikuwa juzi kati. Kila mwanaume mpambanaji wa yale mambo yetu lazima hizi hukumu zinamuhusu Sana BLOCK na BLACKLIST, tunapata hizo hukumu...
Habari za mda huu wanaJf
Poleni na majukumu (kwa wale wataftaji)
Hongera kwao pia. MUNGU awajalie katika utaftaji wenu (kwa wale wafanyao shughuli halali)
Kama kichwa kinavyojieleza pale juu...
Natamani ungekuwepo muda huu, sasa hivi ninapokuangalia machoni naona njia ya ulimwengu ninayotaka niwepo
Walisema mapenzi haya hutokea mara moja lakini sikuamini mpaka muda nilipoona...
Ni bi mdashi flani hivi wa makamo miaka kama 39 hivi niko nae kwenye mahusiano nakaa nae jirani tu na hapa kwangu japo simzingatii sana,
Ni Muda kidogo nilikuwa Sijatoboa sasa leo kama utani...
Habari wanna JF.
Mtu anapopost video, picha au andiko lolote mitandaoni lazima apokee comments tofauti tofauti, Kuna zingine nzuri, zingine mbaya na zingine za kufurahisha.
Ni comment gani...
Habari zenu wakuu?
Nisiwachoshe sana maana najua wengine mnaendelea na majukumu yenu muda huu alafu inawezekana umekereka Sana[emoji16]
*Inakera sana unakuta majirani na watu kibao...
Ipo haja ya kuanzisha Jimbo la Social Media. Kura zihesabiwe kwa idadi likes, followers etc. Humo kina Steve Nyerere, Pilipili, Kapiga, E.mbasha, Mpoki, Dr. Cheni na Zama ndo wachukue fomu, sio...
[emoji837]BOSS anamwambia sekretari wake:
Wiki hii tutaenda wote Serena Hotel kwenye mkutano fanya mipango yote.
SEKRETARI (anamuaga mumewe):
Tunaenda na bosi Serena hotel kwenye mkutano for 1...