JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Weekend hii nilikuwepo Mori Sinza pale la chaaz pub kuna mambo yamenishangaza kwa kweli hasa haya yafuatayo : 1. Utitiri wa wanawake wanaojiuza la chaaz pub pamoja na uzuri wao wote bado...
6 Reactions
25 Replies
7K Views
Natumai hamjambo wakuu. Wanafizikia mtueleze kwa nini wakati wa tendo la ndoa hasa katika style ya kifo cha mende mwanamke huwa hasikii uzito japo unakuwa umemlalia but ukimaliza tu anausikia...
1 Reactions
33 Replies
2K Views
Wadau nimeona nijiajiri.kazi zimekuwa ngumu sana. Nikaangalia haya maisha na changamoto zake kuzigeuza kuwa fursa. Nmepata wazo, kuna watu huwa mpaka wanaenda nje ya nchi kutaka pandikiza...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Wana jamvi niko Dodoma mjini hapa mpweke, nahitaji kampani ya binti wa kurelax nae kidogo bt sio kingono just stories.. Gharama zangu asijali... U know unlike charges atract"
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Salaam... Mpaka kufikia leo tumeshatumia takribani siku 200 kwenye huu mwaka na hivyo kubakiwa na siku 166. Tujifanyie tathmini ndogo tu, umefanikisha kwa kiasi gani mipango yako ya mwaka huu...
1 Reactions
22 Replies
1K Views
Hi guys,how is Sunday.... Anyway kumekuwa na huu msemo maarufu Sana way back "Mungu si Athuman" Nini maana yake halisi kuhusisha u Mungu na U Athuman... Je inamaana yoyote au ilikuwa Ni msemo...
4 Reactions
24 Replies
4K Views
Mwanaume ukiwa huna hela amini nakuambia, mwanamke atakayekupenda kwa dhati ni MAMA yako tu.
4 Reactions
8 Replies
763 Views
Sorry wanaume mnaofunga PM zenu, huwa mnasumbuliwa Sana na mademu ehhh. Au mnaficha nini huko? Mnauza gongo?
15 Reactions
83 Replies
4K Views
Wasalaam, Dunia simama nishuke.[emoji1321][emoji1321][emoji1321] Let's meet at the top, cheers [emoji1635]
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Najiuliza je nizitumie uko niendako au nirudi nazo? Je nikizitumia itakuwaje nitaporudi? Msaada tafadhali.
2 Reactions
38 Replies
2K Views
Katika kuijua sehemu hii ya Sinza kwa zaidi ya miaka 10, leo nimeshangaa sana. Hivi sehemu huwa haina cha weekend wala jumatatu wala Juma ngapi. Huwa bar na bata ni kila siku. Lakini cha...
2 Reactions
58 Replies
5K Views
Jamani na hili joto la Dar, Eti wanasema nawatamanisha nkitembea kifua wazi. Kwani ni makosa jamani eti?
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Asee.. Katika Pitapita zangu si nikakutana na hii nikasema kweli wadada noma "Shoga bwana aliyekuhaidi atakulipia kodi nimemkuta anakata mauno ili ajishidie t shirt ya...
2 Reactions
41 Replies
2K Views
Majina ya vijana wanaotakiwa kujiunga na mafunzo ya JKT yametangazwa. Kutangazwa kwa majina haya kumezirudisha nyuma kumbu kumbu zangu yapata miaka miwili sasa. Tulikuwa Range(Mazoezi ya ulengaji...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakuu., hapo unaanza na Nani kum'hug Kati ya mama na mke..[emoji1]?
2 Reactions
13 Replies
777 Views
Wakuu wangu ni matumaini yangu ni wazima wa afya, hii leo tukumbuke na kukumbushana kumbi mbali mbali zilizo wahi kuvuma na maarufu za starehe enzi hizo kuanzia miaka ya 80 mpaka 90.... Naanza...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Waswahili wanasema mkaa bure sio sawa na mtembea bure. Hii Ni moja Kati ya misemo yenye maudhui sana. Moja Kati ya Maana zake ikimaanisha kuwa kuzunguka katika sehemu mbalimbali katika ulimwengu...
4 Reactions
28 Replies
2K Views
KUNA WIZI UMETOKEA BENKI ••••••••••••••• ••••••• Jambazi akasema "wote laleni chini pesa ni za serikali na maisha ni ya kwenu", wote wakalala chini (HII INAITWA DHANA ...YA USHAWISHI - kubadilisha...
6 Reactions
8 Replies
2K Views
NIngependa tushare some details kuhusu jina, avatars uliitoa wapi au inamaanisha nini. Sema chochote kuhusu jina/avatar yako uliyoweka profile. Mfano yangu: Miaka kama 3 hivi nilikuwa napenda...
0 Reactions
37 Replies
2K Views
Nimeikuta mahali jirani kajenga hadi mwisho wa mipaka na kusuluisha bwana mwenye nyumba kagoma mwenzie kafanya kweli [emoji23][emoji23]
0 Reactions
2 Replies
782 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…