Wadau hili ni kuwa michezo tuliyocheza zamani imepitwa na wakati au kama vile ukuti, kombolela, rede, kibaba na kimama, magari ya udongo, kuendesha matairi au kufunga kamba na kuendesha kama basi...
Muda wowote naolewa nikipata mchumba mwenye ela..sipend vibamia wenye navyo mkae kando
----------------
UPDATE
____________
Majuzi kati mie kichwaBOGA Mtoto mrembo toka familia ya kitajiri...
Wadau naomba ushauri leo nimeamka asubuhi nimepitia status za mzee baba nimekuta hii kuzaa si kupata imenichanganya. Sikumbuki kama wiki hii kuna jambo nimemkwaza, hapa natamani kumpigia simu...
Tahadhari mnaoendesha magari usiku wa leo mkiwa na furaha labda mmeonja gambe. Simba kashinda pia wana CCM wanaotoka Dodoma kuweni waangalifu barabarani gambe na furaha isije ikawa-impair maamuzi...
Yaaani nikisikia tu anasema anakunywa au anatumia K- Vant basi mi akili yangu inaenda mbaaaaaaaaaali.
Kuna mtu hapa kasema atanipa K- Vant kama ntampa jibu la swali lake...basi nmeanza...
Wadau mimi napenda kufuga hapa kwangu nina Mbwa,Paka, Ng'ombe wa Maziwa na Kuku pia.
Mbwa nmeona kazi yake maana kuna siku kibaka alijichanganya kuruka ukuta kabla sijaweka Fensi ya Umeme...
Jamani nmeamuzimisha jirani sabuni ya kipande jana usiku amenirudishia leo ikiwa ndogo kama line ya simu ya halotel alafu ina vinywele nywele duuh halafu anasema na kesho tena
Billionea Laizer kaingia sabasaba akapokewa na KATIBU WA WIZARA.
Kilichonishanga ni kwamba Watumishi wa wizara kuvaa mashuka ya kimasai.
Unadhani wamevaa kwasababu yake NOOO KUBWA SANAA.
Wamevaa...
You finally made it to another new year in your life, a year of perfection. God will give you all-round victory in every sphere of your life, the Angels of the Lord will surround you to keep you...
Hi everyone
Hii ni sehemu ya kuburudika, kujifunza, nk
Bas Leo nimekaa zangu sina hili wala lile nikawa nakumbuka harakati za utotoni nilikumbuka mengi ila lilofanya nicheke nikiwa mwenyewe ni...
TIRIRIKA hapo chini kwa Mambo na majambo ya watanzania na vituko vyao.
Mimi naanza hiviiiiii
"Ambako watu hununua bundle ili wapost Kama hawako vizuri kiafya badala ya kununua dawa".
monde arabe comments zako zimepotea siku kadhaa hivi kulikoni upo salama!? Au upo Dodoma?
monde arabe kila mada kila jukwaa liwe dini,siasa,mahusiano,michezo atakapopita comments zake ni "Unique"...
Niko hapa JK Hall, nashuhudia kila mtu akishika mkono aliye wake na kuondoka naye.
Leo guest house zitawaka moto! Kuna jamaa mmoja toka Katavi kaniwahi kwa mjumbe mmoja toka Mbeya. Nilikuwa...
Leo nataka ujue namna ya kujua mwanamke ambae anadanga. Yani ile umemfia ile mbaya unajitahidi kuhudumia lakini sasa hujui kama anadanga.
Sifa yao kuu ni moja tu: UONGO.
Sikiliza sana ulimi wao...
Wakuu niko mbioni kwenda Dodoma nilikua naomba msaada wa kufahamu lodge Bora na nzuri isiyozidi gharama ya 40000 maeneo haya
✓Karibu na Bunge
✓One way
Lodge tulivu Kwa ajili ya kupumzika vizuri