JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Nakumbuka jinsi nilivyokesha kuandika mistari na kuanza kujitongoza mwenyewe na kujikubalia kirahisi nikidhani kutongoza na kukubaliwa itakuwa kama kumsukuma mlevi. Nilikuwa kila nikitembea...
12 Reactions
30 Replies
4K Views
Nimedetiwa na wengi ila huyu kiboko, anaitwa Denis James Kizitto. Huyu mkaka tulikutana mara ya kwanza hapo Mlimani City nikiwa kwenye shopping zangu akanitrap nikatrapika tukaanza mambo yetu...
0 Reactions
11 Replies
937 Views
Leo nimeangalia simu ya rafiki yngu nimeshangaa ana groups 8 za whatsapp na zte yko active. Ndio maana muda wte yupo na simu tu hta ukiongea nae yeye ana chat tu mpk saa nyingine anakera ukikaa...
6 Reactions
105 Replies
17K Views
Nani aliwadanganya wakenya kwamba social distance anamaanisja kukaa karibu na watu unao wapendaπŸ˜³πŸ˜³πŸ˜³πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Unakuta ni jitu zima unaliheshimu kazi kufoward mimeseji ya kutumiwa na watoto wadogo. We mama mtu mzima si ukae na wajukuu zako. Mkottongoz.wa mnalalamika vijana hatuna nidhamu
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Unakuta Panya hajawahi kuona wala kukutana na Paka tangia azaliwe, lakini siku akimuona tu kwa mara ya kwanza anashtuka na kuogopa sana, kwa nini? Nani kamfundisha kuhusu Paka?
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Wakuu sina maneno mengi picha inajieleza hapo.
4 Reactions
26 Replies
4K Views
Hi wana chit chat Leo nimekuja kueleza maoni yangu juu ya hawa wadada wenye mizogo,makalio aka misambwanda mmekuwa mkituumiza sana tukiwa sehemu mbali mbali, mara mpite mnatingisha, mara mpite...
0 Reactions
77 Replies
6K Views
Kila nikijaribu huwa nashindwa Navunja Nimejitahidi hiki cha sasa kina miezi mitatu na niliweka nia niweke kwa miaka miwili elfu 5 kwa siku. Sasa kila nikiingia ndani roho flani inaniambia...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
shoutOut kwa huyu Member wa jamii forum Na mimi namuuliza hivi Hivi nikiwa na 500k naweza pata Ps4 ambayo haijail break Na jail break ni nini,ipo tofauti na kuchip? Weekend njema wana jamii
0 Reactions
2 Replies
846 Views
Habari Wakuu mko poa, Ipo hivi kulikuwa na misemo tofauti tofauti ambayo kama inafurahisha hivi unasema kitu harafu mbele unaweka kama mstari wa biblia flani hivi, Mfano! " Ndipo Mkuu wa Nchi...
0 Reactions
6 Replies
626 Views
Muda mchache uliopita nikiwa nimetulia zangu mahali nikasikia dada mmoja analalamika kuwa dera lake ambalo alilinunua kwa mkopo wiki chache zilizopita limeibwa wakati alipokuwa amelianika. Na...
2 Reactions
25 Replies
2K Views
Mchekeshaji Kingwendu amesema leo Julai 6, anarudisha fomu ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Ilala, na tayari amepata wadhamini wa kumsaidia kwenye kampeni zake na hataweza kufilisika, kuuza nyumba...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Uko wapi mama ? Nimemiss nyuzi zako aganza njoo huku nafsi yangu itulie
1 Reactions
1 Replies
370 Views
Twende wote Nauli Musoma- Mwanza 10,000x2 20,000 Boda 2,000 Gest 30,000x2 60,000...
9 Reactions
59 Replies
3K Views
PICHA LINAANZA "Yule Mwalimu aliyezoea kuwahi kama kawaida saa 12:30 tayari yupo shuleni" MUDA UNAZIDI KWENDA Walimu karibu wote wameshafika staff MARA GHAFLA "Kanaingia kale ka madam kazuri...
53 Reactions
89 Replies
6K Views
kama kichwa Kilivo Niulize swali lolote la kijinga au ujinga
1 Reactions
38 Replies
4K Views
Hili ni gonjwa baya sana tena sana bora bahari upate matatizo mengine lakini mpigo uwe na uhai la sivyo utajuta hasa uwe na mke. Mtaani kwangu kuna aibu zinaibuka kila uchwao hivi nyumba...
4 Reactions
11 Replies
1K Views
Life bwana kuna muda unawaza daaah..!! "hivi kwa mfano BABA Angekuaga MO DEWJ sahvi maisha mtelezo tuu!! " Wakati huohuo baba nae unakuta anawaza hivi mfano "MWANANGU angekuaga SAMATTA...
11 Reactions
21 Replies
5K Views
Wakuu poleni na mihangaiko ya hapa na pale. Katika maisha kila mtu anakuwa anakuwa inspired na watu flani either kimtazamo au life style yao inasababisha mtu kuvutiwa nao. Mfano mzuri ni humu JF...
2 Reactions
56 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…