Maisha haya achaa tu
Tokea nimenunua ka vx8 nakutana na mambo ya ajabu sana juzi natoka zangu nyumbani naelekea shambani na gari langu mpya aina ya vx8 kwaajili ya kwenda kubebea mihogo na mkaa...
Salaam wakuu. Niende kwenye mada moja kwa moja.
Kumekuwa na mambo mbali mbali yenye kujenga, kufundisha na kuburudisha. Lakini katika wingi wa mambo hayo huwa inatokea mtu unataka kutoa ushuhuda...
▼
Home
View web version
Wednesday, August 14, 2013
Udaku Specially at 9:33 AM
SHILOLE ASHUSHIWA KIPIGO KISA MADENI...
Msanii nyota kwenye tasinia ya muziki na filamu bongo Zuwena...
Sio mapenzi sio pesa vyote hivi vinanisumbua akili yangu, ila kwa suala la pesa nazani limefika mwisho wa kusumbua akili yangu..
Maana kwa jinsi hali ilivo ngumu nimeongea na ndugu zangu...
Pokeeni Salamu zenu nyingi kabisa kutoka hapa Nyumbani Mkoani Gisenyi nchini Rwanda. Nashindwa kuwa nanyi mara kwa mara kwakuwa huku Kijijini ( Shambani ) nilipo kuna muda Mtandao haukamati...
Kile kitendo cha kuomba chenji kwa mwenzako uwe mfanyabiashara au siyo hudumisha amani kwani anayeombwa naye hutoa akiweka akiba kuwa akiishiwa ataomba kwa aliyemsaidia.
Ila kwa watu mlioishi na...
Siku ya leo nimetimiza miaka kadhaa duniani,
Nawashukuru wazazi walionileta duniani
Japo wametangulia mbele za haki(RIP Dad&Mum)
Namshukuru MUNGU kwa uzima na afya,
Sifa na utukufu namrudishia...
Hapa kwetu uswahilini, tumeamka na tifu la kufa kuku na vifaranga wake.
Mtoto wa kiume ambae tulihisi tangu mwanzo ya kuwa ni kachumbari ya makafiri, anashikana nguo na mama yake mzazi kisa...
Baada ya makamanda kunishambulia sana nilipoleta uzi wa uzuri wa stand ya makao makuu ya nchi, nilijiuliza kwanini wanakuwa wabishi ndipo nilipoanza kuchunguza jengo la makao makuu yao pale mtaa...
Muda mwingi mzazi wa kike (Mama) ndani ya nyumba ndio mwenye majukumu ya kuwaangalia watoto wadogo. Ila muda ambao mama anakua hayupo nyumbani basi baba ndio huchukua majukumu ya kuwaangalia...
Habari wanabodi,
Kwa hili vuguvugu na joto la kisiasa linavyoendelea nchini tanzania hivi sasa (Kufukuzwa uwanachama Mh Membe n.k) na sintofahamu za wapinzani kusulubiwa pasipokua na huruma.
Na...
Hii kitu ilinikuta kweli jamani...
Sehemu ninayo fanya kazi aliletwa binti mumoja kuja kufanya kazi, kiukweli sio siri nilimuelewa sana kiasikwamba kuna siku alipatwa na tatizo na njia pekee ya...
1. Wengine kila tupandapo Dala Dala ikitokea tumebahatika Kukaa Siti Moja na Abiria wa Kike Kutongoza / Kumtongoza ni Jambo la lazima mno kama Israeli na Roho ya Binadamu. Sasa huwa inakera zaidi...
MARA nyingi AKILI yangu huwa inafanya kazi kulingana na mtu ninaekutana nae.
Kuna mtu anajua mimi ni mjinga.
Kuna mtu anajua mimi ni mtu mwenye upeo mpana wa kufikiri.
Kuna mtu anajua mimi ni...
Karibuni katika uzi huu, lengo na nia ni kuweka tweets mbalimbali za wabongo kutoka twitter, ambazo zinaweza zikawa za kufikirisha, kushauri, kufurahisha na hata kupongeza!
Naanza na hii...
Mwanzoni mwa mwaka huu kama masihara nilijikuta naingia ktk huu mchezo baada ya kujiunga kampuni mojawapo sitoitaja jina.
Kwa kifupi ni kwamba kushinda huwa nashinda ila kuliwa ni zaidi.
Pili...