JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
1. Chai na chapati mbili; yaani ukiwa mgahawani ukiagiza chai na chapati moja au zaidi ya mbili watu lazima wageuke kukuangalia, ni kama wamesikia wewe una ugonjwa wa corona bile. 2...
31 Reactions
205 Replies
10K Views
Nakumbuka nilikua kidato cha kwanza nikamzimia montress, Mwanaume sijawai kutongoza nikaona njia sahihi niandike barua.Nikajipinda nikaandika barua nikapangilia mistari nikachora na maua ya...
0 Reactions
24 Replies
7K Views
Nilichojifunza Jasiri huzaliwa kwa lengo maalum! Hafi hadi kusudio la Mungu litimie! Hupitia msukosuko Mingi kuliokoa Taifa! Nguvu ya Mtukufu Ipo kwenye VIKARAGOSI
1 Reactions
5 Replies
941 Views
Kwanini ukinywa maji hulewi, bali ukinywa beers, spirits,wine,cider n.k unalewa? Kama wewe ni mtumiaji/mnywaji wa kileo toa sababu zako kwanini unalewa?
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Siku zinakimbia kwa kasi sana wakuu, leo nimeamka natoka kwangu ile kufungua geti nakutana na mwalimu wangu mjeda wa Makongo yeye ameshanisahau kabisa ananunua kiwanja kinachopakana na Mimi, baada...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Hawa jamaa wa forever, Qnet, Global Alliance na jamii hizo hasa hasa wale newbie. Financial education wao ndio wameimaster, kuona wengine hawajielewi ndio wao, health experts pia wao, top class...
1 Reactions
5 Replies
757 Views
The best present I have given myself is giving up alcohol, eating more fruits and vegetables with drinking plenty of water. Since quitting a bottle of wine and a glass of cold beer on a hot sunny...
8 Reactions
10 Replies
877 Views
Usiiangalie "JANA"kwa "HASIRA" kisa maisha yalikuwa magum usiingalie "KESHO" kwa "UOGA"kisa ujui utakula nin bali itazame "LEO" kwa "HESHIMA" na "BUSARA" huku ukijipanga "KUSONGA" "MBELE" kwa...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
mliowahi kuingia kwenye kumi na name za polisi; Ni mkwara gani mkubwa mliwahi kukutana nao kutoka mikononi mwa hawa jamaa? Tujuzane!!
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Je? Una tukio ambalo umewahi kukutana nalo katika maisha yako tangu uzaliwe hadi ulipo, na ambalo kwa namna lilivyotokea hutokaa ukalisisahau kabisa? Kama jibu ni NDIYO, Tuhabarishane hapa...
0 Reactions
100 Replies
12K Views
Wapendwa muhali gani? Mimi naomba kuuliza swali. Kuajiriwa ni bora zaidi au kujiajiri? Najua jibu ila sasa nimechoka nikiajiriwa sidumu kazini na pia ni kwasababu unakuta boss anakuwa...
0 Reactions
34 Replies
1K Views
Kuna kazi nimepata hivi karibuni sasa nikaambiwa malipo yanafanyika kupitia benki na nikatakiwa kuwa mteja wa benki hiyo ambayo ofisi imetaka ili niwe nawekewa mshahara wangu. Sasa kutokana na...
6 Reactions
47 Replies
5K Views
Wakuu nipo ghetto hapa, nataka nisonge ugali. Sasa nishaweka Ndimu, Chumvi na Limao.. Nini kinafuata?
0 Reactions
3 Replies
419 Views
Wewe nitukane uone utakavyo ufunga mwaka 2016 kwa BAN. Moderators be aware na vijana wa ufipa! Wakinitukana tu muwapige BAN
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu naishi kota za kupanga hapa Changombe, upande ninaokaa kuna jirani yangu chumba cha jirani ni mama mtu mzima hivi ni mshika dini sana sana. Cha ajabu juzi nimeamka saa 8 usiku na kutoka nje...
5 Reactions
49 Replies
8K Views
Habari za wakati huuu wana JF . poleni na mihangaiko ya hapa napale. bilakuopteza muda niende kwenye mada moja kwa moja. Huduma za mitandaooo hapa nchini zimekuwa nachangamoto mbalimbali saaana...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Watu wana wa-judge sana watu wanaopambana kutafuta pesa Ilimradi tu hawavunji sheria, mimi nawaheshim sana, manaa wana uthubutu ambao wengi hawana. 1. Mitume na manabii 2. Wanasiasa 3. Wadangaji...
3 Reactions
5 Replies
866 Views
Kweli wezi si watu wema haha... walichukua simu Kama yao...bt thanks Lord I'm back,maana na Covid-19 hii kuBuy a new phone ni ujasiri[emoji1751] ... I real miss you Guys [emoji8][emoji8]
5 Reactions
33 Replies
2K Views
Nimeamka zangu asubuhi nikala mihogo ya kuchemsha na chai ,baada ya muda kidogo maza angu mmoja hivi ninae kaa naye akaweka kisamvu jikoni . Kuja kufatilia kumbe majani ya kisamvu yanatoka kwenye...
4 Reactions
17 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…