Habari zenu wakuu
Tunaanza weekend sio mbaya nikija story nyepesi nyepesi mimi ninatokea kanda maalumu kwa asili ila nimezaliwa DSM na niko hapa maisha yangu yote sasa tokea tuko wadogo tulikuwa...
Daah, wabongo bwana nadhani majungu ni sehemu ya mada huko mashuleni, kuna watu ni wataalam.
Yaani unaweza pigwa jungu mpaka wewe mhusika mwenyewe unaamini ingawa sio kweli.
Haha, kuna baadhi ya...
Tufungiwe ndani kwa Corona
Umeme ukatwe
Tv stations zote zizimwe
No radio
Mawasiliano ya simu yazimwe
Gesi iishe home
No mkaa
Mvua inanyesha nje
Internet HAKUNA
Jamiiforums shut down
Freebasics...
Hivi nikichukua mwarobaini, aloe vera, majani ya mpapai, tangawizi nikachanganya nikachemsha halafu nikanifunikiza na nyingine nikanywa kwa cku tatu mfululizo. Siponi corona? Tusiidharau Africa...
Hii Dunia imetoka mbali miaka ya nyuma ilikuwa mtu ukimiliki Television mtaa mzima unaheshimika kuna watu hadi walioa kwa sababu ya kumiliki TV na wengine walikuwa wanapata shikamoo kila kona...
" All men hate cold water".
Kama Una mtoto wa kiume na hachukii kuoga maji ya baridi basi kuwa na uhakika kwamba mtoto wako huyo sio mwanaume kamili and probably ana kiwango kikubwa cha hormones...
kila siku natamani kwenda hii sehemu naiaikia
saana, mwisho wa mwezi huu Mshahara
ukitoka nataka nizame huko, naomba mwenye
kujua napanda gari za wapi nashuka wapi, jinsi
ya kufika naomba...
Wasalaam!
Nimewaza kitu.
Ukiwa kiongozi mkubwa serikalini (top layer) na wewe ni mtumiaji wa vilevi ama mla bata sana, unafanyaje kuenjoy ?
Unaletewa home au unatoka out kwa usiri mkubwa sana ...
Kwa wale msio na usingizi usiku Kama Mimi karibuni tubaeilishane mawazo juu ya hivi vifuatavyo.
1. Biashara
2. Mapenzi
3. Kuwa na rafiki wa kawaida wa jinsia tofauti inawezekana?
4. Ni sahihi...
Waziii....!!!
Wiii....?
Basi nilizoea kuskia kwa vijana wenza mjini Chuo kikuu.
Hii yote ni kwa sababu ya watu wa rika mseto wanavyo changa vizuri akili yao/zao kwa nia mbaya ya kutapeli...
Wale wenzngu na mimi tunaowasha friji kwa masaa kadhaa na samaki na nyama wakiganda tunazima mpaka siku ya pili mupo?
Nafanya hivi kuepusha gharama za units kwenda kama nyumbu bora tupunguze...
Kipindi cha kutongoza mwanamke huwa ni kipind kigumu sana kwa mwanaume haswa pale anapokua seriously na huyo mwanamke .
Kipind hichi cha teknolojia vijana weng tumejikita kutongoza kwa njia za...
*UMEMUAGA mkeo unaenda kazini, ukapita kwa mchepuko wako, wakati unajimwaya-mwaya na mchepuko, mume wa mchepuko akagonga mlango, ikabidi ufichwe uvunguni mwa kitanda. Wakati bado upo uvunguni ka...
Tangu mambo ya Corona yaingie nchini
Kuna Hali nmegundua, unaweza ona jumatatu jumanne Yaani iko kama wikiendi vile
Kama Kuna Hali fulani imebadilika
Ahh acha nizichape bia zangu chobingo fulani...
Nawaomba wadada Wa JF muwe mnaweka picha halisi ili iwe rahisi kufanya maamuzi sahihi. Yani nilimtokea mtoto mkali humu kwa kuangalia picha yake ya avatar baada ya kukutana live nilijikaza sana...
Nguvu za kichawi ,ushirikina falme na mamlaka za kuzimu zikuachilia kuanzia sasa . Uwe hai katika Jina la Yesu .
The magical powers, the superstitions of the kingdoms and the powers of hell...
Unakuta jitu zima limewasha Laptop na WIFI liko Bar toka saa tatu asubuhi wakati wa supu hadi saa nne tano usiku .
Umeambiwa ni kufanya kazi toka nyumbani na si kufanya kazi toka Bar --...
Katika mwili wa binadamu kuna viungo vya mwili ambavyo waweza kuta ufanyaji kazi ni mkubwa kuliko vingine,
Hebu taja kiungo kimoja katika mwili wako kinachofanya kazi kuliko chenzake,kwangu Mimi...