JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Nyimbo hutunza historia mbalimbali;taja wimbo ambao ukiusikia unakukumbusha kitu flani.wangu ni;kuku kapanda baiskel wa mr nice,
0 Reactions
63 Replies
8K Views
1. Hachezi mbali na simu yake kila wakati.[emoji336] 2. Inbox na sent items hufutwa kila wakati. 3. Ukimuomba simu yake ghafla lazima akwambie, "hebu kwanza" 4. Kamwe haiiti kwa mlio, always...
2 Reactions
93 Replies
8K Views
Wakuu nina hamu sana ya kuoa jini Sababu kuu zilizopelekea kufikia uamuzi huu ni hizi 1)Majini hayachepuki 2)Majini hayaombi hela 3)Majini hayana magonjwa ya zinaa kama vile ukimwi 4)Majini...
5 Reactions
203 Replies
32K Views
Wakuu, Kwanini wanawake wakishikwashikwa maziwa yao yanakuwa makubwa na mengine yanalala kabisa lakini wakati huo huo ukiwashika makalio hayawi makubwa? Kwa maana ukichukulia kigezo cha...
4 Reactions
260 Replies
47K Views
Jana nimeota nafanya mapenzi na Miss Natafuta Kwenye njozi mara ya kwanza nikamwambia wewe Miss Natafuta naskia wewe ni wa kiume akacheka tu halafu akanisogolea na kunishikisha papuchi ili...
1 Reactions
125 Replies
8K Views
Nimechoka na mateso ya humu Kila nikiandika serious thread wanazifuta ila nikiandika thread za mizaha zinabaki Nimechokaa na hii tabia bora niwaachie mtandao wenu Kwa herini
8 Reactions
58 Replies
4K Views
Kipanya leo kaonesha kuwa figa 1 ni kubwa kuliko mengine hivyo sufuria lazima litadondoka tu
1 Reactions
6 Replies
688 Views
The architect of these units didn’t include us of Kwamtogole residents, next door neighbor leaves five seconds away in our face me I face you houses.
1 Reactions
2 Replies
568 Views
Nimesoma makala moja inaripoti kwamba watu wanaotumia bia na vilevi wana furaha zaidi na wanajua kutafuta pesa Sana. Je kuna ukweli?
4 Reactions
10 Replies
1K Views
Nina mayai 10, nimepasua matatu, nimekaanga matatu na nimekula matatu. Je nitakuwa nimebakiwa na mayai mangapi?
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Halmashauri ya Wilaya Bukoba imehamia rasmi Katerereo Bukoba Vijijini ili isogeze huduma karibu kwa wananchi zaidi. Hii ni baada ya amri kutoka kwa wakuu kuhamisha makao makuu kutoka mijini.
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu nataka nionekane mtu mwenye busara na hekima tele ila sijui pa kuanzia ,nifanye nini ili niwe mtu wa busara?
5 Reactions
52 Replies
11K Views
Nimefanya utafiti kwa miezi sita hatimaye nimegundua 98% ya members wote wanaongia humu jf kupitia jukwaa la utambulisho sio wageni bali ni members wakongwe ila wameongeza id mpya . Members...
5 Reactions
23 Replies
2K Views
Kabla sijaondoka rasmi JF naomba wale.mademu zangu wote waje hapa niwape busu la mwisho mwisho pia kuwapa usia juu ya kuishi kwa upendo
0 Reactions
72 Replies
4K Views
Ukiwa ugenini kamwe usithubutu kubakisha chakula hata kama ni kingi kiasi gani ,,ukibakisha utamsononesha mpishi atajiona hajui kupika. Pia usiagize maji ya dukani,kunywa yale yale...
6 Reactions
23 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu, natumai hamjambo. After sex akili huwa na utulivu wa pekee sana. Nimekaa najiuliza hali hii hutokea kwangu pekee, au hutokea kwa wengine pia? TUJUZANE WAKUU.
3 Reactions
81 Replies
9K Views
  • Closed
Hello wananzengo Jamani jamani jamani, Niko serious, utani matusi na mizaha isiyokuwa na tija haitapokelewa. Give me 3 million or 4 million na nakuahidi nitakachopata ambacho ni zaidi ya milioni...
0 Reactions
29 Replies
2K Views
Tuseme Ukweli wakati mwingine dada zetu hawa bila tukofi tuwili tutatu hawakai sawa.. 1: Nakumbuka Mwaka 2013, Nchini Ubeligiji, University of Antwerp nilikuwa nasoma, nilidate na binti mmoja...
29 Reactions
498 Replies
30K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…