Habarini wakuu,
Naomba kuanzisha uzi huu maalum kwa ajili ya kukusanya watu ama mtu ambaye atakuwa radhi kusafiri kwa basi kwenda Afrika Kusini na kwa ajili ya masuala mbalimbali. Idea ni...
Kuna majanga asili mengi duniani (natural disasters)ambayo tunayaona/sikia yakiathiri maisha ya watu lakini hi ni kubwa zaidi.
Pale mtoto wa kiume unapozaliwa kati ya wanawake wengi na ukashindwa...
.......Kula TIGO, KULA RUSHWA, KULA SUNGURA TOPE, KUBET MIKEKA,KULA NGADA.
KAMA HAUJAANZA, USIANZE. TUACHE SISI TULIOPOTEA
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni nani wewe unayenikataza nisiende chuoni na tranka...
Ni nani wewe unayenikataza nisivae lile buti langu nililozawadiwa na mwenyekiti...
Ni nani wewe unayeniambia et niende chuo na begi la...
Amani iwe juu yenu wakuu,
Hatimaye nimeanza kuwa mkongwe sasa kwa jukwaa la JF. Nimejiunga kitambo sana humu ndani wakongwe wenzangu wanajua. Japo madogo wa juzi hawawezi jua.
Nimejiunga kipindi...
Maisha yamekuwa magumu sana kipindi hiki. Nilikuwa nawaza kwa mfano nikisajili lain 20 za Vodacom kila laini nikakopa M-Pawa buku tano tano, 5000x20=100k (ntasubiria laini zimalize miezi mitatu...
Mimi ni mwanaume mpenda mambo ya Teknolojia hasa hasa kwenye software.
Napenda sana kumpata rafiki wa kike wa kuchat nae kama kupunguza stress tu za mizunguko.
Kwa yeyote alie tayari ani-PM tu...
Jamaa mmoja aligonga hodi na mwanamke kafungua.
Jamaa kwa hasira akauliza, “una uchi?”
Mwanamke akabamiza mlango kwa hasira. Jamaa likaondoka.
Siku ya pili jamaa likarudi tena. "Hodi?"
Karibu...
Majina ya wanaume na Sifa zao katika mahusiano yao na mapenzi
1. Dennis-mapenzi ya tamthiliya
2. Nicolas-muongo
3. Albert-domo zege ila mjanja mjanja
4. Mathias-anapenda mwanamke kwa muda...
Wakuu, kuna mtaalamu mmoja anadai anatoa pochi ya ajabu ambayo kila asubuhi unakuta pochi limejaa mipesa.
Pesa hizo sharti lake ni zitumike siku hiyo hiyo zote, isibaki hata senti. Kesho asubuhi...
Wakuu,
Kuuliza si ujinga. Kuna wana JF huwa wanatumia alama zifuatazo kwenye comments zao ila hua sielewi maana yake, naomba mnisaidie
1.rolleys:rolleys:rolleys
2.:D:D:D:D
3.:p:p:p...
Saa 10:00 Timu Kuwasili
Saa 10:20 Wachezaji Kushuka kutoka katika Ndege kwa Magoti na Makalio
Saa 10:30 Wachezaji Kuangaliwa kwa Jicho baya sana na Wahudhuriaji Uwanjani
Saa 11:00 Golikipa Shikalo...
Tatizo langu ni unyonge najuta kwanini sikupitia jkt au kwenda dojo lolote kujifunza mbinu za mapambano.
Nimekuwa punching bag kila mtu anataka kunipiga na huwa wananipiga kwelikweli,jana...
Habarini ndugu zanguni.naamini maisha yanaenda mbele kiulaini kama kawaida.kuna jambo nimeli observe mara kadhaa limekuwa likinisikitisha sana.
Hii kauli "Billman ngekuwa kama wewe ningewabandua...
Kuzingatia kwamba moja ya slogan za JF ni “where we dare to talk openly “ kuanzia sasa hadi kufikia mwisho wa mwaka huu nitaweka hapa list ya post mbovu kabisa ( utumbo) zilizowekwa kwenye...