Kinaitwa kifungua kinywa, kizungu wanaita break a fast. Maana kwa masaa 10 au zaidi uliyokuwa usingizini mwili ni kama ulifunga.
Mashariki ya Kati utamaduni wao wa kifungua kinywa ni mikate...
Nasemea kile kijiko cha shughuli za uchimbaji mitaro ambacho josti yake inazungukia pale katikati kwenye kiuno hivi ni kweli ule mzunguko wake hauna mwisho yaani hakina mbele wala nyuma,
Na pale...
Hii hali ilishawahi nitokea hapo nyuma ikapotea. Nilikuwa nikilala ikifika midnight nipo ndotoni nahisi kitu kinabana mwili mzima nashindwa kujitetea na sura haionekani ni hisia za kubanwa na mtu...
Hivi kuna uhusiano wa harufu kali za taka mwili (tajwa hapo juu)zitolewazo kutoka mwilini kuendana na chakula tunachokula?Taka mwili ya watu gani(waafrika,wazungu,waasia)hunuka zaidi?
Bila kujali...
Uongozi wa Chama wa wanaume wasiooa Tanzania unawatangazia kuwa kutakua na kikao cha dharura kesho saa 10:00 am.
Ajenda kuu ni kujadili jinsi gani tutaweza kuepuka Upepo mkali wa kisulisuli ambao...
Ninapozungumzia marafiki zangu wewe ni miongoni mwa marafiki zangu wa faida kabisa hata nikiwa na shida nikuamshe usiku wa manane lazima unisikilize pamoja na mm na kausumbufu jamani lakini...
Habari wakuu,
Naomba msaada wenu vijana wa miaka miaka 80 na 90. Nasikia kipindi hiko kuna muziki ulikuwa unaitwa chachacha sijui chakacha. Ninataka kufahamu officially genre ya hizo nyimbo...
Haya ndio paaap umepewa masaa 24 ufanye uvunjifu wa sheria na hutoshtakiwa. Utafanya tukio gani la kihalifu?
Tupe na mipango utakayotumia kutekeleza uhalifu huo, maana kipindi hicho kila mtu...
Kuna vitu viligunduliwa na mababu zetu na sisi tunavichukulia kawaida sana Ila ukivichunguza kiundani utagundua mengi yaliojificha.Chunguza picha hii na utuambie unaona nini katika ususi...
Yaani kila channel ya Bongo ninayofungulia halikai mbali, linarudiwa na kurudiwa, hivi hawa watu wana pesa kiasi gani?
namaanisha lile tangazo la hakatwi mtu hapa.
Wakuu nawasalim wote.
Nipo Geita nimeingia Jana mliopo Geita njooni PM tupeana maelekezo na mwongozo wa huu mji wa madhahabu ,nini cha kufanya na ni kipi niepukane nacho ili niendane sawa na wenye...
Aman iwe nanyi wakuu
Leo niko hapa kumuomba MUNGU anijalie hekima, busara, mapendo pamoja na utajiri wa moyo na mali na pesa
Ni kwanini nimeamua kumuomba utajiri wa moyo, mali na pesa ni kwa...
Wadau Umuofia kwenu.
Nilikutana na visa kadha wa kadha katika maisha ya nyumba za kupanga. Kimojawapo ni wenye nyumba kuamuru wapangaji tujisaidie choo cha peke yetu na wao cha kwao, lakini cha...
Kuzaliwa, kusoma, kazi kisha ndoa, watoto, kujenga nyumba kusomesha watoto kisha kifo maisha ni nini?
Kuwa na pesa nyingi bank kama mzigo wa haja kwenye public toilet, maisha ni nini?
Au maisha...
Habari wote humu,
Niende moja kwa moja kwenye mada.
Kuna kisiwa kinaitwa "Fungu Yasini", Nimeona picha zake nimevutiwa nacho kukitembelea ukizingatia ku fanya "voyages" ni DNA yangu.
Nimefika...
NAOMBA NITOE WASIFU WA WALE WANAJF WALIOZALIWA KUANZIA ATAREHE 7,17 NA 27
SIFA ZAO:
A. Ni watu walio na moyo wa ukarimu na wenye ujasiri katika kile wakifanyacho
B. Ni watu wenye kuthubutu...