Siku hizi ukitaka utoboe mapema kimaisha ishi maisha ya kinafki nafki utatoboa sana kimaisha
Nataka niwe mtu wa kusifia sifia tu kiwe kibaya kiwe kizuri nasifia tu as long as nayemsifia ana hela...
Nimemtafuta tokea Jana hadi hivi leo sijamuona je, kuna mwana ' Twitani ' Mwenzangu labda amebahatika Kumuona ama akitoa Taarifa zake Nyeti au hata akichangia tu Kimikogo kama kawaida yake...
Heri ya siku ya Baba yetu wa taifa wanaJF
Vipi pale umemaliza shule O-level/advance then umefeli.
Wenzio wanaenda/wapo/wamemaliza chuo. Unajisikiaje?
Au unajisikiaje pale unaulizwa na manzi chuo...
Local za kimtaa mtaa zile za kariakoo na stand nyingine za miji ask for ...
1.Active man
2.Dark Fever. (Kama zipo nyingine mtaongeza)
OG perfume Worldwide za Bei ghali .
Unaweza tumia ...
Karibuni sana wadau mtembelee Iringa miezi hii march na april.
Kwani kuna ulanzi kwa wingi kipindi hiki ukipatikana asubuhi mchana na jioni,maboga,mkaliifya bila kusahau matunda aina ya mitundwa...
Hebu chukulia imepita miaka takribani 15 au 20 kabisa toka uhitimu masomo ya ngazi flani mfano: elimu ya sekondari au chuo
Lakini ghafla siku za karibuni unaota ndoto umerudi tena masomoni tena...
Kesho najibu Maswali magumu magumu Mf :-
-Zaidi ya Ngono mwanamke ana nini cha ku-offer?
-Unampa mwanaume kila kitu bado anakuacha, hizo kilakitu ni zipi?
-Kwanini ni muhimu kuwa na Viwango vya...
Nawakumbusha tu, Malaya hasikiagi nyege anawaza pesa yako tu so usije ukaonesha ujuzi au kuchosha pingili zako za mgongo kojoa mpe chake sepa... Niongeze sauti au inatosha[emoji1529][emoji441]...
Wacroatia ππ· wanatamaduni ya kumalizia majina yao na "ic" mfano
Modric
Mandzukic
Olic
Je, wewe mwana JF ungezaliwa croatia ID yako ingeandikwaje?
Mimi naanza "worldbossic"
Nawakumbusha tu, Malaya hasikiagi nyege anawaza pesa yako tu so usije ukaonesha ujuzi au kuchosha pingili zako za mgongo kojoa mpe chake sepa... Niongeze sauti au inatosha[emoji1529][emoji441]...
Jina lake aliitwa Daniel....
Baba ake alifahamika kwa jina maarufu mzee tupatupa, waliishi mbeya eneo la Ghana....
Majirani zao walikuwa mzee mpiga Uzi na Mama moshi....
Anaemfahamu anijuze
Ulikuwa wapi?,mimi nilikuwa darasa la pili shule moja maarufu jijini Mwanza, mwalim akapiga kengele akasema tunarudi nyumbani sababu Nyerere kafariki,nilikuwa hata sijui Nyerere ni nani, mimi...
N aje ni vip ?
Husika na somo tajwa hapo juu.. me ni kijana chini ya miaka 30 nimepanga chumba kimoja huku Tembon kipato changu cha kawaida sana under10k per day.
sasa bhana nisiwachoshe wala...
Hello wakuu!
Huyu ni rafiki yangu tulikutana hapa hapa JF.
Tulizungumza mengi sana kuhusu 'tafsiri za ndoto' karibu kila siku tunazungumza hayo.
Bahati mbaya nikapoteza simu yangu, namba yake...
Naam kumekucha ni siku mpya tena [emoji23][emoji23]
>wasichana waliokuwa wakifagia ofisi za waalimu
>Wale wote waliokuwa maskauti
>Wale wavulana waliokuwa hawataki kukaa na wasichana dawati...
Nakumbuka kipindi hicho bado nipo seko
Hii team Alteza ilikuwa inatamba sana batani kila sehemu za bata wapo na ukitaka kujiunga nayo lazima na wewe uwe na Alteza
Nakumbuka kipindi hicho...