Nimekaa nimewaza sana ivi wanawake pesa zenu mnanunuaga nini OK ngoja nitoe mfano kwamfano mwanamke ameolewa Na anafanya kazi Na anapata mshahara Lakini utakuta Hela ya kodi ya meza ni mwanaume...
Nilivyokua mtoto nilikua nikiona mzungu nakimbia ndani najua ni Mnyama wa ajabu atanikamata anile aniuwe,na mama angu alikua anantishia sana wazungu tulikua na jirani yetu Mzungu basi kila muda wa...
Husika na kichwa cha Habari hapo juu,naombeni kujuzwa kuhusu hizi sarafu je zina thamani gani, ni za wapi na nitazitumia wapi.
Kwa atakaesaidia tutagawana pasu kwa pasu ninazo kama 30 hivi
Aisee kwenye maisha kuna mambo ukizoea kuyafanya baadae yanageuka tabia, yanageuka hulka na mwenendo wa maisha.. *Addiction* ni moja ya vitu vigumu sana kuvikimbia..
Mimi hulka ya kunywa soda...
JF kuna kila aina ya maraia wanao toa michango ya nguvu,wababaishaji na wachekeshaji.Hivyo members hutoa like kwa aliyewagusa Kwenye wanaocoment.
Hivyo hili bandiko ni kutoa heshima kwa members...
Wakuu.
Natumai mnaendelea vyema.
Moja kwa moja kwenye mada. Hivi hili suala la pesa. Hasa kwa mzazi je alishawahi kukuomba umkopeshe??
Kwa minajili ya kuja kukulipa baada ya muda.
Na ulipo...
Nakumbuka tuliwahi pigana hadi wengine wakalazwa kisa ugomvi mpirani baada ya wanafunzi wa shule nyingine kuanza kuwashika makalio wadada wa shule kwetu.
Wew ni mikasa gani ulikuta nao iwe...
1. Kiuhalisia Mimi ni mpole sana na Nina aibu, sio muongeaji kabisa, mpaka nikuzoee sana.
2. Japokua huwa napost sana kwenye jukwaa la celebrities, ila Mara nyingi napenda zaidi kusoma threads...
CHANZO;
VOICE OF AMERIKA (VOA)
Mwanamke mmoja nchini Shinyanga amenyofolewa ulimi wake baada ya kukataa kufanya mapenzi na bwana mmoja!
Chanzo bwana huyo alimuomba amsindikize kama mgeni ndipo...
Nahitaji kuhamia Musoma naombeni ushauri wenu wenyeji wa uko. Vitu navyotaka kujua ni:
A) Bei ya kupanga chumba na sebule
B) Hali ya uchumi wa musoma
C) Hali ya mzunguko wa fedha
D) Kilimo...
Wana Jamvi kwema humu huyu mlibwende Au kama anavyojioambanua mwenyewe kama Activist kiukweli ananinyima usingizi kabisa, Nataka nijitose nipeleke Posa kwao wakuu, Nipeni data za huyu bibie. Maria...
Hakuna kipindi kigumu kama Kumaliza Chuo alafu ukiwa na expectations kubwa za Kupata ajira na maisha mazuri then Siku zinasonga hata dalili ya kupata ajira hakuna, CV umetandaza karibu ofisi zote...
Kila tokeo linalotokea weekeni kwenye diary zenu. Mtapata script nzuri sana huko mbeleko. Tanzania haijawahi kutokea RC aliyempa waziri amri.
RC mkuu wa ma RC utakumbukwa daima pia kwa juhudi...
Habari wanajamvini, naona taratibu week end inaanza, back to the topic, naomba Leo tujuane watu tunaopenda kusafiri safiri, iwe nje au ndani ya mipaka ya nchi.
Najua kwa jamii yetu ya kitanzania...