JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Wakuu, kuna hali fulani hivi huwa nashindwa kuielewa kabisa yaani mara nyingi nikiwa kwenye mizunguko au naelekea mahali ambapo nafanya vitu vyangu, huwa nakutana na watu au mtu karibia kila siku...
1 Reactions
38 Replies
3K Views
1.Baa medi na mademu unaokutana nao club 2.Mama Ntilie 3.Wanafunzi wa vyuo 4.Demu uliyekosea namba 5.Demu mliyekutana katika mitandao ya kijamii 6.Demu wa saluni 7.Demu wa rafiki yako...
12 Reactions
112 Replies
12K Views
Kijana: halloo mama[emoji22] Mama: john mwanangu[emoji2]..hujambo baba? Kijana: mama siko sawa..miezi michache ilopita nligundua nimeambukizwa ukimwi,nsamehe mamangu nataka nirudi nyumbani...
6 Reactions
19 Replies
1K Views
Leo ni siku ya kuzaliwa ya mwana chit chat mwenzetu aggy Happy birthday agata edward ishi miaka michache yenye furaha na amani
5 Reactions
49 Replies
3K Views
Unajionaje katika Mazingira unayo ishi, je unaleta tija katika jamii yako? Kama huleti tija unafikiri nani anapaswa kuleta tija kama sio wewe? Je wajua nguvu kazi ya Taifa ni wewe? Badilika...
0 Reactions
7 Replies
938 Views
Ndugu zangu wanajf hivi hii misemo ya laki si pesa, milioni matumizi nyakati hizi kiu halisia bado inatumika au imebaki zilipendwa
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari.... Hivi mwanaume unanunua ice cream au lambalamba unakula barabarani kama mwanamke au mtoto mdogo unamaanisha nini?? Kwa nini mnatudhalilisha sisi wanaume?? ACHENI TABIA ZA KIJINGA, nunua...
0 Reactions
30 Replies
5K Views
*Wachaga wamegawanyika kama ifuatavyo, sio wote wajanja. Kuna:-* 1. *WAROMBO; *Hawa wajanja sana kibiashara/* *wezi pia.* *wanapenda dili za magendo.* *Ni walevi sana hupeleka wake zao vijijini...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Example Humble ,cheater ,spiritual ,selfish ,leader,giving ,
3 Reactions
83 Replies
5K Views
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Hakuna kitu kinanikera kama tabia hizi za vijana wa mjini wao wanajiita wazawa Kuomba posho yaani hii tabia siipendi kabisa mtu ukikutana nae tu kama hamjaonana kitambo lazima akulilie posho...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Wana chitchat, karibuni kwenye shindano la kumpata Mwana jf ambaye ni maarufu, napendekeza majina haya yaingie kwenye mzunguko wa kwanza ambayo, baadae yatapigiwa kura 1.pascal mayalla 2.Mshana...
3 Reactions
152 Replies
8K Views
An Ad JF kama huna connection hupati wakuku PM at mtu mmoja Kweli Bongo Nyoso Embu tirilika ata kitu kimoja unachoweza pata bila connection ukiachilia Hewa kw apa kwetu Bongo...
0 Reactions
56 Replies
4K Views
1:Nilikuwa NAPITA barabarani, nikaumwa na nyoka. Nani atanisaidia? 2:Nilitumwa na mama KUSAGA UNGA; njiani nikakuta mto umefurika! Nitavukaje? 3:Mtoto mdogo anazikwa kaburi la futi tatu. MTU MZIMA...
1 Reactions
29 Replies
85K Views
Aliwahi kuwafanya wengine wampende na hata wengine wajute kumfahamu...... Aisee tulimtambua kama kubeli, je ulimtumia? Twambie ulipatwa na mkasa gani kisa kubwia hii
3 Reactions
27 Replies
3K Views
Sipendiiiii ! Unakuta baba zima limekazana xaxa badala ya sasa,😏😏😏😏fyuu.
8 Reactions
57 Replies
4K Views
Wale wana JF tunaotupia dawa(kamchongo) tujuane haPa.huu hapa Kuna jamaa yangu kanikeletea kutoka kigamboni Ni mkali balaa.napenda kaudongo kale ambacho kana moisture kwa mbali sio Kama huu wa...
1 Reactions
28 Replies
5K Views
naomba msaada wakubwa kujua hii course inausiana na nn na ikoje katika soko la ajira..nimechagualiwa sua second round..naomben msaaba kwa hlo
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…