JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Comment unapoishi ili umpate na mwenzako mnaokaa mahali pamoja mimi naanza kimara mwisho dar es salaam...√
2 Reactions
60 Replies
3K Views
Wanajamvi, Kila mara nikiweka picha yangu halisi, member wengi huwa wananishauri nirudishe ya Tupac, sasa nimeona niachane na utumwa wa kukaa kivulini,nimeweka avatar ya picha yangu halisi! God...
8 Reactions
94 Replies
9K Views
Mic check! mic check one two!... ni nani tena kama sio the JUNGLE MASTER!? niite Champ au THE ICON. Ohhoo ebanaeee mida hii nipo mezani hapa, ndani ya mgahawa mmoja classic sana! pembeni kuna...
2 Reactions
46 Replies
4K Views
Eti nyie wanafunza wa IFM 3rd year, Mmepewa kazi ya Project management?????. Maana, Wife ananiaga now saa moja jioni akiniambia anaenda discussion? Kweli kuna assignment? Mimi nimebaki kucheka...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Msajiri wa timu jiji cairo amefuta matokeo ya jana na ametishia kufuta mashindano hayo kama Tanzania haita fanikiwa kuingia 16 bora. Hayo yametokea baada ya shirika la mpira africa kupeleka...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu Mambo vp Natarajia kufika mji wa Kigali mwezi ujao...mwenye amewahi kufika au anaishi Kigali aniambie vifuatavyo Gharama za kulala kwa madaraja yote matatu yaani chini Kati na juu Nataka...
0 Reactions
3 Replies
720 Views
Leo niko hapa Bukoba town karibu NA mayor hotel naomba kujua viwanja vya kwenda kutolea uchovu maana sio kwa hali ya hewa hii inashawishi. Nipen viwanja nikapige katerero maana nasikia wako vizur
3 Reactions
20 Replies
4K Views
The Catalyst has brought chemical changes in Chato, historically Chato will be accommodating tourists like Arusha, Moshi and Manyara. If wishes were be horses, Mirerani would have been moved to...
5 Reactions
5 Replies
754 Views
4 Reactions
31 Replies
4K Views
DAVID: Beni Mshikaji wangu, mwezi wa nane nitafungua Ndoa. Me Ninaoa sasa. BENI: Haa David, wewe na Monica Mnafunga Ndoa? DAVID: Ndio Man, nimeamua nioe. Niko tayari sasa. BENI: Mbona fasta...
6 Reactions
25 Replies
2K Views
Nilikutana na mshikaji wangu Tandika stendi ya Mbagala, akanistua kwa nyuma akisema "malogy mathematic ndio wew? upo kaka?". Nikamjibu nipo Kiongozi tunasindikiza wenye maisha yao, akacheka sana...
2 Reactions
28 Replies
2K Views
Fuata hii link, itakupeleka kweny app ambay utaidownload, utajiregister kwa namb yko, kujipatia salio la bure kabixa https://jamiiforums.com/46ZySQ23QX
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Nipo na mchizi wangu, kaja na wadada wawili tukawa tunatoka out, njiani gari ikazingua wale mademu kwa kuwa wanajua destination wakachukua bajaji wakatangulia. Yaani gari ikipata hitilafu...
2 Reactions
84 Replies
4K Views
Jamaa kauzu balaa
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Nimezaliwa na kukulia jeshini 601 KJ airbase Ngerengere jeshini ila dingi kauzu sana, nilipofikisha miaka 6-9 dingi alinipeleka na kuniacha singida kijijini saaana nijifunze desturi na mila za...
3 Reactions
160 Replies
13K Views
Kawaida ya hoja hujibiwa kwa hoja, utafiti hupingwa kwa utafiti. Iko hiviii wale ndugu zangu wanaomiliki au kutumia simu zinazotengenezwa na kampuni ya Tekno ndio hupendelea kutumia nyimbo za...
6 Reactions
66 Replies
10K Views
Kwa kuwa Tanzania inaingia uwanjani kucheza ili kukamilisha ratiba ili ipande ndege kurudi Tanzania,huu mchezo uchezewe uwanja wa Ndege ili wakishakula zao za uso kama 6 hivi ili kuwarahisishia...
3 Reactions
21 Replies
3K Views
Nilikiwa STD 6. Kuna Binti mmoja alikuwa amekamilika kila idara. Alikuwa mlimbwenda Kiakili (Darasani) Kimaumbile. Kisura. Kiroho Kimaadili Kilugha ( Hakuna aliyekuwa anamkaribia ENGLISH...
7 Reactions
21 Replies
2K Views
Natamani kuoa ila kuna kikwazo kimoja kinanichanganya sana nina wasichana watatu sasa naona umri umefika na hao wasichana wote nawapenda hivi kuachana nao nifanyaje fanyaje?
1 Reactions
8 Replies
919 Views
1.Nini maono ya hili tabaka linalopelekea kuharibu vijana wengi wakike. Na kwa namna ipi tuwasaidie watoke kwenye hili tabaka maana wapo wengi sana kwa sasa
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…