Habari zenu.
Ushoga ni tabia chafu na mbaya kabisa ambayo jamii yetu haipaswi kulifumbia macho,iwe kwa nguvu au hiari wenye tabia hizi wanapaswa kuicha kabisa kwani inaleta athari mbaya kwa...
Kuna uhusiano gan mwanaume akichepuka then akija kumshika mwanae mchanga inasemekana mtoto atachelewa kukua au wanaita kubemendwa..Je kuna uhusiano gan kati ya janaba na ukuaji wa mtoto?
Waungwana nawambia hawa wamiliki wa mabasi ya mikoani wakishirikiana dereva na makondakta,ni wakati sasa wa kuvunja mkataba na hiyo kampuni miliyoingia nayo kwa kuwasambazia video za muziki na...
Anaweza kuwa ndugu yako au rafiki yako hata mtu yeyote tu.
Mimi nakumbuka siku moja rafiki yangu alianza kubishana na kijana mmoja mtaani ghafla wakaja marafiki wa yule kijana waliokuwa wamekaa...
Since day one maraia walinimanya kwa gambe na harakati za ku exist na mali.Kuna manzi aliniletea hesabati za kidenzi nikamaindi sana.Ndio mara ya kwanza nikaenda kutafuta cha ukucha bablai...
Leo nimepita hapa maeneo ya Ilala;
Nimekuta wamasai wamejazana kwenye mabanda,nikafikiri niwalinzi kuuliza naambiwa hao ni wasusi.
Ndugu zangu wa Masai Morani mzima uliyekatwa govi bila Ganzi...
Asante Asante Asante sana, Shukrani nyingi kwako Mh. Rais kutukumbuka watu wa Jani.
Uzoefu kwangu unaonesha Bangi ikitumiwa vizuri na kwa utaratibu inafaida. Tuifanye bangi kitu cha kawaida na...
Nimekumbuka sana huu mchezo miaka ya nyuma, ukidondosha kijiti tu unachezea makofi hadi ukashike sehem mliyokubaliana[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]
*Mtoto* mmoja alikua anakula *embe* ghafla akaona *funza* katika lile embe..
Kama nilivokwambia stori hii ina *funza*
[emoji26][emoji26][emoji26]
Walio kula #thabuni wakatoe povu kwingine...
Nimekatiza Conner ya love nimekuta mdada ameandika nahitaji Serious man, ameshusha uzi wa maana to kwa wale wenzangu na mm tusiojua kiingereza... Ni balaa [emoji16][emoji16][emoji16]
Mwenyewe...
Baada ya kuchangamana na watu mbalimbali hatimaye unajigundua madhaifu yako,, pia unadhani labda yale Malezi uliyolelewa pia yamechangia kiasi flani
Ila umepiga Moyo Konde ukaweka Utayari na...