JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Mshana Jr kumbuka kuwa hapa duniani tunapita, kunipeleka ofisi ni kwako na kunilima cha moto kisa nimehoji uganga na elimu yako ya unajimu kweli hii umeona ni kumaliza matatizo? Mshana Jr damu...
15 Reactions
146 Replies
9K Views
Kwanza nimetoka Namtumbo nipo Arusha.Kesho naingia Shinyanga, keshokutwa narudi Singida kidogo then Arusha tena mpaka Jumapili.Juma tatu Mbeya.Baada ya siku kadhaa kule napotelea Mashariki ya...
1 Reactions
83 Replies
5K Views
Saa nzur kabisa.Ni orijino na imara sana.Wahi sasa ujipatie saa yako kwa bei sawa na ya kutupa.Ukiwa mjanja hata bure unapata.
2 Reactions
6 Replies
3K Views
Nimeingia Tanga, wapi mahali pazuri pa chakula kiti [emoji91], na bia mbili tatu pia mahali pa kama live band au mziki wa zamani hivi, na pana mambo yetu yalee.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Maisha ya siku hizi bwana.. Yamefanya baadhi ya mambo yamekuwa kama sheria...hebu ona.. Chai na chapati mbili... Kulala peke yako na kujambia kwenye shuka... Kutembea na chaji au usb.... Kama...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Kama ushawahi cheza hii kamari unajua inavyouma ..
2 Reactions
14 Replies
4K Views
Happy birthday to someone who is smart, gorgeous, funny and reminds me a lot of myself… From one fabulous chick to another. Don’t get all weird about getting older! Our age is merely the number...
8 Reactions
115 Replies
3K Views
Anaitwa Mzigua90 Sitaki kujua ana sura gani, ana shape gani, ana rangi gani, kabila gani, elimu gani, wala nini. Ila tu najua jinsia yake ni 'ke' kwa jinsi anavyojinasibu. Yaani ni kitu...
9 Reactions
186 Replies
8K Views
Wakuu kama uko moro town tujumuike tucheki game ya stars hapa front view kama uko around show up nitakuelekeza nilipo
0 Reactions
5 Replies
841 Views
Aman itamalaki juu yenu Nyie ni mama zetu,shangazi zetu wapenzi zetu na dada zetu, lakin mnazingua hiyo miwigi yenu inanuka sana aisee jitaidini kuipiga maji basi Jana kuna demu kaja masikin wa...
2 Reactions
64 Replies
3K Views
Habari za majukumu wakuu.. Husika na kichwa cha habari hapo juu. Mimi ni mgeni wa jiji la Arusha nimekuja kikazi sikuja kutembea kama nilivokwenda Kigoma. Kikubwa naomba ushirikiano wenu ndugu...
1 Reactions
10 Replies
814 Views
kama wanipenda, kaninunlie zeze, nikilala kitandani, zeze lanibembeleza, mateso moyoni, usiku silali, hadithi sitaki, nataka zeze, penzi lako la thamani, mtanashati jamani, usiku silali...
5 Reactions
56 Replies
4K Views
[emoji23][emoji23][emoji23] Moderator Jokeri anataka msaada wa pesa sio bann
7 Reactions
38 Replies
2K Views
Nko maeneo samaki spot moro any one around show up
1 Reactions
29 Replies
2K Views
Awe na miaka 28-36 Awe mzuri Awe na Hela na Gari Nina miaka 32 Nimeanza ulevi Ila hela Sina Sipendi Company ya wanaume labda wanawake wawe wengi.. Zikinishinda ntajaribu Cha huku kwetu.. Mimi...
3 Reactions
46 Replies
6K Views
Leo ni siku yangu ya kuzaliwa namshukuru Mungu kwa kunipa umri huu na namuomba azidi kunipa umri zaidi katika ulimwengu huu,kwa dhati kabisa namshukuru baba yangu kwa kunilea katika malezi mema na...
2 Reactions
12 Replies
791 Views
Leo katika kuvuta kumbukumbu nikajikuta nakumbuka baadhi ya vituko kadhaa nilivyowahi kuviona au kukumba navyo kwenya daladala. Nitavitaja baadhi. 1. Kuna siku nikapanda daladala, ilikuwa ni...
5 Reactions
13 Replies
2K Views
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu Nilishuka kwenye gar zur aina ya verosa lenye namba C maana nimekuwa nalo toka mwaka jana Nilimuona mama wa...
3 Reactions
163 Replies
10K Views
Kama kawaida vizuri huwa nashare na wenzangu. Leo tutajifunza jinsi ya kuileta video yoyote ya you tube,twitter etc ndani ya Jukwaa letu pendwa(JamiiForums). Natumia you tube kama mfano. pale...
7 Reactions
23 Replies
3K Views
Back
Top Bottom