Wapo wengi sana ila kiubora na kiumuhimu kabisa kwangu mimi hawana ndiyo vinara:
Kikosi kinachoanza kwa mvuto mkubwa
Mshana Jr
britanicca
Zero IQ
Bujibuji
Matola
Salary Slip
GENTAMYCINE
Sky...
Habari za ijumaa mabibi na mabwana?
Lengo kuu la hii mada ni kutaka kuwajua baadhi ya watu ambao siwafahamu nasikia sikia tu majina yao yakitajwa lakini siwafahamu hata jinsia zao
Wafuatao ndio...
Wakuu naomba kuuliza;
Hivi hapa nchini mpira wa kuwania kombe la Mataifa huru ya Africa ni King'amzi kipi kitakacho kuwa kinaonyesha channel za mpira ?
Mimi natumia Dstv na StarTimes sasa nataka...
WASICHANA WAKICHAT
MDADA1; Mambo kipenzi, nimekumiss dear
MDADA2; poa lov, nimekumiss pia
Niliiona pc ulopost fb its so cute
MDADA1; Asante dear namii nimeona umempost upo na shem, u look so cute...
Kiufupi huwa siamini ya kua Mungu yupo huwa naungana na wale wasemao binadamu wa kwanza alikua nyani
Ila some Time nikichill alone nikitafakari uzuri wa Irene uwoya huwa naamini kuna muumbaji...
Habari wakuu,
Nilitangaza uchumba kanisan na binti mmoja
Iko hivi niliambiwa huyu binti ni nesi yupo (mikoa fulani), nikavutiwa nae nakam-approach na bahati nzuri akanielewa nikawa nimemtafuta...
Kudanganya au kusema uongo ni kitu cha kawaida sana kwa jamii zetu. Wengine imekua ndio maisha yao.
Lakini kuna uongo mwingine ukiusikia lazima uzimie[emoji1787]
Kuna watu utadhani wana vipaji...
Habari za wasaa wakuu mbalimbali.
Nimekuwa mtu wa kupenda adventure sana katika maisha yangu.
Kujifunza vitu vipya na ku socialize sana. Lakini kubwa zaidi napenda sana ku take risk na...
Kwa kifupi waliobadilisha jinsia kuwa za kike wanataka haki ya kutumia kutumia vyoo vya kike
Wenyendoa za jinsia moja wanalalamika kunyanyaswa na muoka mikate
Wasio na dini wanafundisha yao...
Mnapokuwa watoto huwa mnajikuta mnacheza michezo hatari sana bila kujua wengine huishia hata kupatwa na mauti lakini mimi Aisee sitasahau siku ambayo tulikuwa tunacheza ule mchezo wa kushikana...
Ladies and Gentlemen salaam!
JF ni jukwaa linalotuunganisha watu mbali mbali ambao kimsingi kila mmoja ana sifa zake za kipekee katika uchangiaji, mwonekano wa kitaswira na pia katika...
Wakuu habari zenu, Naombeni msaada nimenunua Decoder ya FTA(free to air) nipo Ifakara moro. Nimetumia kusearch kwa Dish la Azam(ambalo pia natumia na Startime kwenye Same direction) lakini decoder...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.