Jamani wadada nyie mnatutesa sana yaani hadi kumaliza kula tunda sio rahisi usisikie kauli hizi
1. Ndio nakuja ila ujue sikai sana
2. Nishukie wapi?
3. Saizi saa ngapi nataka kuondoka
4. Ubaya...
Ushindwe wewe tu Ila kila aina ya mwanamke unayeweza kumuwaza ukiamua unamtaka hili suala lipo under your control kabisa huwezi kufeli.usiyumbe Wala kuwaza kuhusu mwanamke kwa sababu wewe ndiwe...
Naomba hizi tetesi ziwe za kweli aisee. Watumiaji wote anzeni kufanya mazoezi ya kuwa natural, maana pengine na vitu vingine vikazuiwa pia.
Maswala unakuta eti Chausiku nae ananywele hadi...
Habari ndugu
Kama kichwa cha uzi kinavyo jieleza mimi ni kijana wa miaka 18 ila tangu nizaliwe sijawahi kumtongoza binti wa lika lolote lile ila juzi nilijaribu kwa binti mmoja jina...
Kama ilivyo ada kuanzia kesho kutakuwa na muendelezo wetu wa Mada ya JF hard talk,
Tulishahoji baadhi ya member wengi sana kupitia mada hii kama kina FaizaFoxy @Da'Vinc Malcom Lumumba zitto...
Naona mnalia lia sana pm. Nasikitik kwamba pm huwa sijibu sms au kuendeleza majadiliano huko
Uzi wenu ni huu unaweza kujaribu bahati yako
Karibuni hapa mnitongoze jamani, napenda kutongozwa mie😜
Aman iwe kwenu wapendwa
Kwanza kwa kuondoa utata Mimi siyo Wa Kilimanjaro Mimi ni msukuma Wa mwanza lakin Niko huku Kilimanjaro tumekuja huku na mjomba kusalimia wakwe zake maana kaoa huku...
1. Ni bei ya sato kilo moja
2. Kuku wa nyama mmoja
3.kilo 2 za nyama ya ng'ombe
4.Sukari kilo 3
5. Donna kilo 4
6. Mchele kilo 4 super kabisa
7. Maziwa ya ng'ombe lita 4
8. Soda take away 10
9...
Yaani hawa wadada wakishapata simu ni shida tupu .wanaongea kuliko customer care wa Tigo. Kuwapa simu inakuwa shida.
Tutawaachaje nyumbani na watoto bila simu Sasa? Yaani hata ukimtafuta simu iko...
Oii Oii (In Kalapina's voice)
Direct to the point.
Umeenda kutembea somewhere. Umekaribishwa vizuri kama mgeni. Full maukarimu. Muda wa kulala unawekewa mashuka mapya. Yani yametolewa kabatini...
Bado nipo nafanya ziara huku mikoani. Bado nipo Songea, ila nimeexperience mambo ambayo yamenishangaza.
1. Kupanda gari inabidi huwe na namba ya dereva au kondakta.
-->> Ili sio kosa lao...
As i lie down my bed the whole day today, all I am thinking of, is u mama!
Nakukumbuka sana mama yangu. Wakati mwingine siku inakuwa mbaya, nzito, chungu sana, natamani hata ungekuwepo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.