JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Nlivokuwa nna miaka 18 nlikuwa najisemea nikifika miaka 25 nianze kujitegemea,, baada ya kufika 25 nikasema nikifika 31 ndo naweza kuoa,, now niko 32
3 Reactions
263 Replies
13K Views
"*Kitendo cha kuchukua tu namba ya simu ya demu wa Dar, tayari nywele zake zinafumuka muda huo huo, njaa inamuuma dakika hiyo hiyo, simu yake inaharibika siku hiyo hiyo, siku yake ya kuzaliwa...
14 Reactions
95 Replies
5K Views
harusi yangu itakua ya kawaida sana...ntaalika watu wachache yaaani mi mwenyewe naweza nisije[emoji41]
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Natumai ni wazima kama nilivyo. Moja kwa moja pasipo kupepesa macho najitosa kwenye mada yangu. Wakuru hakuna kitu kinatia haibu/fedheha kama kufumaniwa ukiwa unashusha mzigo au upo bafuni...
2 Reactions
39 Replies
5K Views
Hodi hodi wanabodi kwa mara ya kwanza najitokeza kwenye jamvi nikiomba maoni yunu kuhusu tabia za wanawake wa kipare na taratibu zao ukitaka kumwoa taratibu za mahari zinakuwaje? Nawasilisha!
1 Reactions
183 Replies
112K Views
Namshukuru Mungu kwa kuniweka hai hadi leo nimeweza kuiona siku yangu tena Mungu endelea kunibariki[emoji120]
6 Reactions
29 Replies
2K Views
Mashine yenyewe hii hapa, nahitaji Mpya.. Niwekee na gharama hapa pia!
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Sio sawa kabisa .
0 Reactions
1 Replies
1K Views
UJINGA NI NINI? Ujinga ni pale ambapo demu wako anaweka picha ya mchepuko wake kwenye profile halafu status anaandika R.I.P wewe unaanza kumpa pole ukijua ni(REST IN PEACE-PUMZIKA KWA AMANI)...
4 Reactions
19 Replies
1K Views
iwe member au ndugu zako je Unatamani nani Ukifa Arithi ID Name yako ya hapa Jamii Forum? Cc Zero IQ
1 Reactions
34 Replies
2K Views
Mabachela wenzangu mupooo.. Ebwana hizi kazi zingine bora kuoa tu nakwambia.. Kupika tu wali na samaki jiko limetapakaa vyombo huku na huko.. Sio ajabu siku tatu zinapita vyombo...
0 Reactions
56 Replies
3K Views
Hivi hizi bangili za kimasai wanazosemaga zina uwezo wa kukulinda na hatari au ukapita mahali popote bila kuguswa Kuna ukweli wowote hapo. Nasikia hata madereva wanapendaga sana kuzivaa
1 Reactions
11 Replies
4K Views
Nina hamu ya kuchat leo..😜
2 Reactions
13 Replies
963 Views
Je?
*Je, una sura mbaya na ngozi nyeusi?, Je una miguu miembamba?, Je una makalio madogo sana??, Je una shepu mbaya?? Sasa ulitaka awe navyo Nani??? We mshukuru mungu upo hai na viungo vyako vyote...
1 Reactions
1 Replies
981 Views
Kuna rafiki yangu anahitaji kuoa mke ambaye ni mwalimu wa sekondari ameniomba ushauri na mimi nimeona nililete jukwaani.Wapo wanaosema ukioa mwalimu utaishi kama mfalme alie peponi mfano halisi...
2 Reactions
11 Replies
3K Views
Asalam alaikum mabibi na mabwana baada ya muda mrefu nimerudi JF kwa wale tuliokuwa tumeconnect nitafurahi kusikia kutoka kwenu. Shukran kwa wote 🙏🏽
1 Reactions
14 Replies
916 Views
  • Closed
Wanasema eti ukitaka kujua ugumu wa jiwe alilotumia daudi kumuua goliathi Mpe mwanamke wa kichaga unga wa ngano akupikie maandazi... Sio Mimi..ni msemo tu unaotrend uraiani Ila mje wenyewe...
1 Reactions
130 Replies
11K Views
Miezi kadhaa iliyopita wateja wa benki yetu pendwa NMB tulipewa taarifa kuwa kwa sasa hakutokuwa na monthly charges kwa saving accounts but nashangaa mpaka leo mimi nakatwa tena mbaya zaidi ndani...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom