Mshana Jr kumbuka kuwa hapa duniani tunapita, kunipeleka ofisi ni kwako na kunilima cha moto kisa nimehoji uganga na elimu yako ya unajimu kweli hii umeona ni kumaliza matatizo?
Mshana Jr damu...
Kwanza nimetoka Namtumbo nipo Arusha.Kesho naingia Shinyanga, keshokutwa narudi Singida kidogo then Arusha tena mpaka Jumapili.Juma tatu Mbeya.Baada ya siku kadhaa kule napotelea Mashariki ya...
Nimeingia Tanga, wapi mahali pazuri pa chakula kiti [emoji91], na bia mbili tatu pia mahali pa kama live band au mziki wa zamani hivi, na pana mambo yetu yalee.
Maisha ya siku hizi bwana.. Yamefanya baadhi ya mambo yamekuwa kama sheria...hebu ona..
Chai na chapati mbili...
Kulala peke yako na kujambia kwenye shuka...
Kutembea na chaji au usb....
Kama...
Happy birthday to someone who is smart, gorgeous, funny and reminds me a lot of myself…
From one fabulous chick to another.
Don’t get all weird about getting older!
Our age is merely the number...
Anaitwa Mzigua90
Sitaki kujua ana sura gani, ana shape gani, ana rangi gani, kabila gani, elimu gani, wala nini. Ila tu najua jinsia yake ni 'ke' kwa jinsi anavyojinasibu.
Yaani ni kitu...
Aman itamalaki juu yenu
Nyie ni mama zetu,shangazi zetu wapenzi zetu na dada zetu, lakin mnazingua hiyo miwigi yenu inanuka sana aisee jitaidini kuipiga maji basi
Jana kuna demu kaja masikin wa...
Habari za majukumu wakuu.. Husika na kichwa cha habari hapo juu. Mimi ni mgeni wa jiji la Arusha nimekuja kikazi sikuja kutembea kama nilivokwenda Kigoma. Kikubwa naomba ushirikiano wenu ndugu...
Awe na miaka 28-36
Awe mzuri
Awe na Hela na Gari
Nina miaka 32
Nimeanza ulevi Ila hela Sina
Sipendi Company ya wanaume labda wanawake wawe wengi..
Zikinishinda ntajaribu Cha huku kwetu..
Mimi...
Leo ni siku yangu ya kuzaliwa namshukuru Mungu kwa kunipa umri huu na namuomba azidi kunipa umri zaidi katika ulimwengu huu,kwa dhati kabisa namshukuru baba yangu kwa kunilea katika malezi mema na...
Leo katika kuvuta kumbukumbu nikajikuta nakumbuka baadhi ya vituko kadhaa nilivyowahi kuviona au kukumba navyo kwenya daladala.
Nitavitaja baadhi.
1. Kuna siku nikapanda daladala, ilikuwa ni...
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu
Nilishuka kwenye gar zur aina ya verosa lenye namba C maana nimekuwa nalo toka mwaka jana
Nilimuona mama wa...
Kama kawaida vizuri huwa nashare na wenzangu. Leo tutajifunza jinsi ya kuileta video yoyote ya you tube,twitter etc ndani ya Jukwaa letu pendwa(JamiiForums). Natumia you tube kama mfano. pale...