Hawa wahenga wanachuana kwa stori za mikasa isiyoisha ya mahusiano yenye maudhui yafuatayo:
1.Wao ni vidume na daima wanagongea wenzao na kujifanya kuomba ushauri wa kuwaonea huruma huku wakijitoa...
Hey fam hope mpo pouwaaaaa........
Heri ya mwaka mpyaaa kwenu nyoteee[emoji1488]
Jaman kwa wale ambao mshawahi date ma black american hivi haya mambo ya shawatokeaa??
Manake mambembe naanza...
Malezi ni kitu kipana sana ambacho kinahusisha uhusiano wa mtoto, wazazi pamoja na mifumo ya kijamii,kiuchumi na hata mifumo ya kisiasa inayowazunguka.
Kijamii:
Malezi ya mtoto yanachangiwa...
Vijana wenzangu usipokula raha katika dunia yetu hii ukishakufa haupati tena nafasi nyingine tena mababu nao wamestuka wanakula maisha raha mustarehe wana enjoy good life...
Kiufupi niliwamis sana kiasi ya kwamba hata kuelezea siwezi, ila naimani tuliokuwa nao mwaka Jana Mungu awabariki sana.. Pia niseme kwa wale wenzetu ambao tulikuwa nao kwa namna moja au nyingi...
INAVYOTOKEA WAKATI WA UNYWAJI WA BIA
Chupa ya bia 🍾 ya kwanza huwa haileti hisia yoyote. Mnywaji humaliza chupa hiyo bila kuona matokeo yoyote zaidi ya kupoza koo... Na mara nyingi huwa mkimya...
Kwangu mimi kiitikio “chorus” bora zaidi ya muda wote ni chorus aliyofanya Rihanna kwenye ngoma ya TI ya “Live your Life”
Chorus hii ya LIVE YOUR LIFE kwangu ndo bora zaidi na sijawahi ona tena...
Kama walivyo vijana wengi na Mimi nimepanga Chumba mitaa fulani hapahapa mjini dar.nawakaribisha wote kunitembelea
Nimekuletea picha za chumba changu.chumba changu kimsingi kina vitu vingi kama...
Kwa namna ya pekee naomba kukutakia maisha haya tuliyo nayo mafupi kwanza
Furaha
Amani
Upendo
Ulinzi
Mafanikio
Na baraka tele zitokazo kwa Mungu wetu. Happy birthday dada yangu Sakayo
Happy born day Sakayo wa T
Nimefikiria sana maneno mazuri ya kuanza kuandika ujumbe huu wa kukutakia heri ya za siku hii muhimu kwako..
I ’m so lucky that I have such a beautiful and precious...
O...! Oi,,Inakuaje wajuba humu ndichi?natumai mko Echu kabisaa,,niache perepete mingi acha nisololoe direct kwenye topic,,Juzi(Ijumaa)Tulianza rasmi mitihani ya Second semester chuoni yaani...
Wakuu hv inakuwaje ukienda club kupata demu rahisi sana. Nimeshuhudia club nyingi nilizoenda ukigusa tu tayari. Hawa watoto wa kike kama wamechanjiwa...
Hello guys habari za huko uliko!
Leo ni tarehe 09 June ambayo katika miaka kadhaa nyuma iliyopita nilizaliwa, napenda kumshukuru Mungu, wazazi wangu, rafiki zangu na wana jamii forums wote kwa...
Toa sress kidogoo!
Wanaume oyeeeee
[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji116][emoji116][emoji116]
Mme na Mke walibishana kila mmoja akijigamba kuwa ana rafiki mzuri.Ili kumaliza ubishi,wakaamua...
Wewe ukitaka kujua wanawake/wanaume wangapi unepita nao hadi sasa na umejiunga JF zamani anza PM ya kwanza kuja juu.
Ukitaka kuwajua kwa picha zama dropbox kama unayo.....kama haufuti.
Ingia...
Walah, Mondi jifunze kwa huyu jamaa, ukweli mchungu yeye ndo kakubeba huu wimbo. Toka umeanza kuimba huu ndio wimbo wa pili kuupenda, kuudawnload na kuusikiliza, wa kwanza ulikuwaga "NITAREJEA"
Whether ni kipara au kipala, salamu kwa wale hasa ambao wako chini ya miaka 30 lakni nywele za kichogoni na mbele zineisha au kudhoofika.
Tuko pamoja katika hili,, usipoteze muda huwezi kutibu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.