JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Ndugu zangu wa Morogoro tujuwane hapa Wale wa kihonda, mafisa, kilakala, kichangani, mwembesongo, mafiga, chamwino, mji mpya, mazimbu, mkundi, azimio, na mitaa yote nilioisahau
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ndugu zangu wa Morogoro tujuwane hapa Wale wa kihonda, mafisa, kilakala, kichangani, mwembesongo, mafiga, chamwino, mji mpya, mazimbu, mkundi, azimio, na mitaa yote nilioisahau
1 Reactions
0 Replies
892 Views
Aman iwe nanyi wapendwa Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu Karbun kwenye intavyuuu leo tunaenda kumuintavyuu kaka yetu bak wa jukwaa la siasa, Utaratibu kila mtu anaruhusiwa...
1 Reactions
52 Replies
4K Views
Wanawake badliken
0 Reactions
1 Replies
830 Views
Ukitaka upate chochote kutoka kwa mtu unaehisi unampenda pana vitu viwili vya kufanya. 1) JIPIME UNA HAKI YA KUPENDWA NA YEYE Mapenzi ni nguvu ya uvutano wa kihisia . hayachagui wala hayabagui ...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
[emoji1313]
0 Reactions
1 Replies
1K Views
LEO NIMEWAZA SANA NIKAGUNDUA Wanawake ndio watu pekee duniani ambao sio wanaume...
3 Reactions
14 Replies
4K Views
[emoji1313]
0 Reactions
0 Replies
644 Views
*NAWAKUMBUSHA TU!!!* *Ni bei ya.......* 1. Sato kilo 1 2. Kuku 1 wa nyama 3. Kilo 1.5 za nyama ya ng'ombe 4. Sukari kilo 3 5. Donna kilo 6 6. Mchele super kilo 4 7. Maziwa ya ng'ombe lita 4...
0 Reactions
1 Replies
994 Views
1. Kupakwa GV kwenye kidonda 2. Kung'olewa jino kwa uzi 3. Ubwabwa kupikwa jumapili tu 4. Kidonda kuwekwa unga wa 'rangi mbili' a.k.a tetesakrin 5. Kupamba kadi na pamba sebuleni 6. Ukumbi wa...
4 Reactions
12 Replies
3K Views
Naam, naona vitu mbalimbali vinakatazwa. Natumaini kwa kizazi kijacho hawatajua nini maana ya Rambo wala viroba. Hivyo naishauri serikali vitu hivi viwekwe Makumbusho, natumaini vitaongeza pato...
0 Reactions
4 Replies
984 Views
Wanaume wooote wa Jamii Forum tukutane hapa kubadilishana mawili matatu na kujadili mambo yetu ya kiume, NB: Wanawake nyie kuweni ma observers tu, Msichangie chochote humu
2 Reactions
32 Replies
2K Views
1 Reactions
0 Replies
740 Views
Nasikia kuna baadhi ya minjemba ikimpa ofa mwanamke, inamwekea kiujanja mkojo ndani ya kinywaji anywacho (mostly kwenye vileo). Baada ya hapo binti anakuwa taabani na jamaa anatumia fursa hiyo...
1 Reactions
21 Replies
5K Views
Kama tittle inavyojieleza Mwanaume kufanya yafuatayo haipendezi:- 1) Kuwa mbeya au kushiriki umbea kwa namna yoyote aidha kwa kukusudia au kwa kutokusudia. 2) Kutumia maneno haya:-...
5 Reactions
41 Replies
6K Views
Habari ya kazi ndugu zangu Kama kicha kinavyoeleza hapo juu,Nimekaa nimetathimini kwa hakika kiasi nikaona mke wa muhimu kwetu vijana. Jana nmetoka zangu kazini nkaingia kuoga kama kawaida...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wapendwa leo kuna tukio la kuhuzunisha limenitokea. Nilikuwa nimesimama maeneo ya Ubungo nikisubiri gari, ghafla nikamuona mama mtu mzima analia kwa sauti kubwa, mda huo huo nilikuwa nimeshika...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ni kitu gani kilikupa umaarufu shuleni? mimi ni good handwriting!
1 Reactions
49 Replies
8K Views
Nimeamka nimejikuta Kigoma nikazurura wee nikaenda Uvinza saivi nipo Kasulu tour inaendelea mliopo hapa tuwasiliane. Ila jamaa wa huku ni WABISHI balaa PROBOX a.k.a MCHOMOKO ndo usafiri mkuu...
3 Reactions
41 Replies
5K Views
waungwana, kama mnavyojua swala la ajira limesha kuwa tete kwa vijana walio wengi na kupelekea msongo wa mawazo kwa wengi wao. ili kumnusuru huyu bwana mdogo ambaye anashindwa kutwa humu kupost...
15 Reactions
53 Replies
7K Views
Back
Top Bottom