Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu
story iko hivi kuna demu mmoja bhana nimekuwa naye kwenye love kwa mda wa mwaka mmoja na nusu, kwa mda wote huo...
Mimi Baba Morgan mkazi wa Namtumbo nakuja hapa jukwaani jioni hii kwa lengo la kuomba msamaha kwa wale wote nilio watukana, kuwadhihaki na kuwacheka kwenye nyuzi zozote nilizowahi kuanzisha na...
Tuachane na yaliyopita huko mwanzo ila asilimia 80 ya habari zile zilikuwa ni habari za kweli ambazo zimetokea katika mzunguko wa maisha yangu.
Nadhani mnakumbuka niliwahi kuokoa Simba asiuwawe...
Ni kitu gani unaweza mpatia mwanamke kiroho safi na roho isikuume kwa ulichotoa?
Binafsi kitu ambacho naweza mpa mwanamke na kisiniume wala kujilaumu ni MIMBA pekee
vp upande wako?
Umoufia Kwenu wana JF,
Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni ya YECCO Group ambayo inajishughulisha na Ndege,madini pamoja na umeme,Ndugu Yericko Nyerere ametoa funzo kwa vijana kwamba Hard work Pays...
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu
Niaje wana na wadau wote wa jf
Ebhana ee mambo ni fire fire
Ebhna ee karbu kwenye gazeti la udaku ambalo...
Watu wengi tumekuwa tukitamka,kusikia au kutumia maneno (fupisho )au acronomy hasa yanayohusu technology pasipo kujua maana yake au urefu wake
mfano.
ATM Automatic teller machine
USB Universal...
Wakuu, hii imezoeleka huku kwetu yaani ukisikia mtu anaitwa haya majina basi moja kwa moja utajua ni msukuma japo ni majina ya kizungu:-
Charles
Laurensia
Metusela
Emanul
John
Peter
Abdalah
Rahel...
Mzigo wetu umeshawasili kutokea same mkoani Kilimanjaro..mrungi Bomba Safi kitu maini kimeingia na bus mapema tu Jana hiyo Leo Ni kuji sevia tuko na fundi wangu tuko na mzee wetu mjeda kutoka...
Nauza vifaranga vya bundi...
Vina mwezi mmoja, havihitaji chanjo maana jamii hii ya bundi haishambuliwi sana na magonjwa...
Napatikana sumbawanga, Nakuletea popote usafiri juu Yangu
Tafadhali ukialikwa nenda kale Sepa, Mambo ya kusumbua watoto wa aliyekualika mara unasoma darasa la ngapi mara umekuwa mwanangu mara nihesabie mpaka 10 hatutaki safari Hii, Tunajua kilichokuleta...
Nakumbuka zamani kidogo miaka ya 2005 kurudi nyuma disko zilikuwa zimechangamka sana, kipindi hicho ijumaa pamejaa, jumamosi pamejaa, jumapili ndo panajaa mno.
Nashangaa sana siku hizi vijana...
Uzi huu ni kwa ajili ya wale waliopiga gambe na kujikuta wanafanya mambo ya ajabu na kesho ulipoambiwa Ulibisha kweli.. Nilipiga gambe enzi nipo chuo sasa bhana nikataka kuondoka na Malaya flani...
Ni Mkoa Mmoja tu Tanzania nzima ambao una Majengo mazuri, umepangika vizuri hauna hatari na Mafuriko ambao ni wa Mara ( Musoma ) Nimekuwa nikiangalia Picha mbalimbali za Mafuriko ya Mkoani Kagera...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.