JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Baada ya maisha ya hapa dar kuzidi kuwa magumu kwa upande wangu nimeamua niuze Kitanda changu nimekilalia mwaka mmoja tu Bei ni 200000 sipunguzi. Ukikihitaji nakuletea ulipo.. NB: kama sio mnunuzi...
2 Reactions
46 Replies
6K Views
Kinauzw kiwanja. Dodoma/nkonze/ njia ya Iringa. Ukubwa ni 20*30 kipo karibu na hospital na shule. Umeme ni nguzo moja umbal toka barabara kuu ya lami ni mita700. Bei 5Million mazungumzo yapo...
0 Reactions
1 Replies
689 Views
Hivi mwenye "brand" yake ndg Stallone anataarifa na Juni Mosi:D
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hahahahaha.
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Na mimi ninahitaji kuendesha IST maana mkuu amezipa sana promotion. Yangu iwe ya blue bahari niwafunge midomo mtaani. Na mimi nimehongwa IST Asprin
4 Reactions
11 Replies
1K Views
Jana tarehe 1 Mwezi wa 6 ilikuwa siku yako ya kuzaliwa mme wangu. Ila kwa sababu ya upendo nilionao kwa JOLIE JOLIE NA HAZARD ilibidi niwaachie nafasi ya kusherekea wapendanao hao. Natamani...
9 Reactions
178 Replies
8K Views
Ukiwa waziri mwenye dhamana ya kulinda mila na utamaduni wetu tafadhali tuhuishie sheria ya tresspassing. Hii itapunguza kero kadhaa Kama wapiga bodi na wadokozi,hata wachafuzi wa mazingira wale...
0 Reactions
0 Replies
477 Views
Yah: Kuadimika kwa condom Kwa kipindi kirefu kidogo kumekuwepo na upungufu wa condom katika maeneo mengi hari hii inatuathiri sana sisi wazinzi lakini waoga wa kuukwaa ukimwi Maambukizi mapya...
4 Reactions
5 Replies
2K Views
Nyie Wadada mnaosema ohh Wanaume wote wanachokitaka huwa ni mapenzi, ni sababu ndicho mnachotupatia. kwani uliijaribu kumpatia gari la Baba yako akakataa[emoji848][emoji848]??.
2 Reactions
5 Replies
2K Views
An angry husband sent this message to his father-In law:- "YOUR PRODUCT IS NOT MEETING MY REQUIREMENTS. I WILL RETURN IT TO YOU" The father in-law replied:- "SORRY, YOUR WARRANTY HAS EXPIRED. THE...
4 Reactions
1 Replies
884 Views
Wakuu. Sijawahi kukutana na mwanaJF mwenzangu yeyote yule toka nimejiunga hapa. Najisikiaga vibaya sana tunatumia fake IDs. Why ? Kwanini wakuu ? Mwenzangu uliwahi kukutana na mwanaJF yeyote...
1 Reactions
308 Replies
14K Views
Wote humu tuna ID na hatujuani ukiachilia mbali wale wanaojulikana yaani verified.. Nasemea ID za kujificha kama zetu hizi Lakini mtaani haipiti siku tunaiongelea JF. Tabu ni kwamba kila...
4 Reactions
67 Replies
4K Views
Mwemye kujua jina tafadhali.
0 Reactions
1 Replies
643 Views
Wasalaam wapendwa. Kununua nguo kila mwezi, Kuchangia kila harusi wakati una watoto wawili tu Kununua gari badala ya kiwanja Kunywesha watu bia kwenye baa Kupanda tax wakati huna mizigo wala huna...
0 Reactions
6 Replies
686 Views
Uzi huu ni mpambano kati ya member wa zamani kujiunga humu dhidi ya waliojiunga hivi karibuni. #Member Wakongwe wanasema hawa wapya hawana ni watupu kichwani,wanaleta mada za kitoto,hawahesimu...
6 Reactions
62 Replies
5K Views
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Nacheka kwanza😂😂😂😂 Hivi wadada ushawahi kuvaa pichu zote zikaisha mpaka ukiangalia kwenye droo hamna iliyobaki?mm nakumbuka wakati nasoma nilikuwa navaa zote hadi zinaisha ndio nazifua,au nikiwa...
5 Reactions
62 Replies
6K Views
Maswali ya kijinga na majibu ya hasira; 1. Mtu anakuona umejilaza na macho umefunga anakuuliza umelala?..... Hapana najaribu kufa. 2. Mvua inanyesha halafu unatoka nje kisha mtu anakuuliza...
26 Reactions
215 Replies
77K Views
R.I.P Rambo, Tulikupenda Ila Maguful Ndo Alikupenda Zaid, Rambo Umenisaidia Sana Nilikua Naweka Sim Yangu Wakat Wa Mvua, Nikienda Sokon Niliwek Zaga Zang, Na Chips Nilibebea Kwako, Bila Kusahau...
0 Reactions
2 Replies
496 Views
Back
Top Bottom