Baada ya maisha ya hapa dar kuzidi kuwa magumu kwa upande wangu nimeamua niuze Kitanda changu nimekilalia mwaka mmoja tu
Bei ni 200000 sipunguzi. Ukikihitaji nakuletea ulipo..
NB: kama sio mnunuzi...
Kinauzw kiwanja. Dodoma/nkonze/ njia ya Iringa. Ukubwa ni 20*30 kipo karibu na hospital na shule. Umeme ni nguzo moja umbal toka barabara kuu ya lami ni mita700. Bei 5Million mazungumzo yapo...
Jana tarehe 1 Mwezi wa 6 ilikuwa siku yako ya kuzaliwa mme wangu.
Ila kwa sababu ya upendo nilionao kwa JOLIE JOLIE NA HAZARD ilibidi niwaachie nafasi ya kusherekea wapendanao hao.
Natamani...
Ukiwa waziri mwenye dhamana ya kulinda mila na utamaduni wetu tafadhali tuhuishie sheria ya tresspassing.
Hii itapunguza kero kadhaa Kama wapiga bodi na wadokozi,hata wachafuzi wa mazingira wale...
Yah:
Kuadimika kwa condom
Kwa kipindi kirefu kidogo kumekuwepo na upungufu wa condom katika maeneo mengi hari hii inatuathiri sana sisi wazinzi lakini waoga wa kuukwaa ukimwi
Maambukizi mapya...
Nyie Wadada mnaosema ohh Wanaume wote wanachokitaka huwa ni mapenzi, ni sababu ndicho mnachotupatia. kwani uliijaribu kumpatia gari la Baba yako akakataa[emoji848][emoji848]??.
An angry husband sent this message to his father-In law:-
"YOUR PRODUCT IS NOT MEETING MY REQUIREMENTS. I WILL RETURN IT TO YOU"
The father in-law replied:-
"SORRY, YOUR WARRANTY HAS EXPIRED. THE...
Wote humu tuna ID na hatujuani ukiachilia mbali wale wanaojulikana yaani verified.. Nasemea ID za kujificha kama zetu hizi
Lakini mtaani haipiti siku tunaiongelea JF. Tabu ni kwamba kila...
Wasalaam wapendwa.
Kununua nguo kila mwezi,
Kuchangia kila harusi wakati una watoto wawili tu
Kununua gari badala ya kiwanja
Kunywesha watu bia kwenye baa
Kupanda tax wakati huna mizigo wala huna...
Uzi huu ni mpambano kati ya member wa zamani kujiunga humu dhidi ya waliojiunga hivi karibuni.
#Member Wakongwe wanasema hawa wapya hawana ni watupu kichwani,wanaleta mada za kitoto,hawahesimu...
Nacheka kwanza😂😂😂😂
Hivi wadada ushawahi kuvaa pichu zote zikaisha mpaka ukiangalia kwenye droo hamna iliyobaki?mm nakumbuka wakati nasoma nilikuwa navaa zote hadi zinaisha ndio nazifua,au nikiwa...
Maswali ya kijinga na majibu ya hasira;
1. Mtu anakuona umejilaza na macho umefunga anakuuliza umelala?..... Hapana najaribu kufa.
2. Mvua inanyesha halafu unatoka nje kisha mtu anakuuliza...