JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
DARASA HURU Usiku Mmoja Kabla Muuza Duka Hajafunga Duka Lake Aliingia Mbwa Dukani Akiwa Na Kibegi Mdomoni Ndani Ya Kibegi Kulikuwa Na Pesa Kiasi Na Orodha Ya Vitu Vilivyotakiwa Kununuliwa. Muuza...
7 Reactions
6 Replies
1K Views
Nyang'auz wanapenda kujifariji.
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wale wa nyt kali na mageti ndio hvyo yashafungwa mnatumia mbinu gani? Mimi huwa napanga tofali naruka ukuta,hapa ndio narud nishajipanga, Bongo nyoso
4 Reactions
66 Replies
5K Views
Hii hutokea pale mwanamke anapopita aidha uwe kijiweni ama umekaa mahali lazima tuu utageuza shingo kuangalia maumbile yake sehemu ya nyuma?
0 Reactions
8 Replies
922 Views
Nipo maeneo ya Mafinga hapa kwa wiki moja wenyeji niambieni Kiwanja kizuri nachoweza kupata moja moto moja baridi, msosi na watoto wakali
0 Reactions
4 Replies
931 Views
Jf bhna ata mtu ajitokeze awe na wazo lenye maana kubwa kuna boya tu from no where lazima licomment utumbo umu🔨🔨🔨
6 Reactions
20 Replies
1K Views
South Africa.
1 Reactions
0 Replies
477 Views
Poleni na majukumu wazee wezangu na wanangu pia, najua mmechoka sana huu utawala wa liganga (jiwe) but msijali aya yote mapito tu na mwisho itakua ni mwakani kama tutaamua kulitoa ili liganga...
3 Reactions
111 Replies
5K Views
Habari "JE, WAJUA KITANDA KINA KAZI MBILI?" Hujui eeh ! Twende hizi hapa ! 1. SLEEPING ...... KITANDA ni kwaajili ya KULALA , KUMBUKA kitanda sio sehemu ya kuwazia maisha yako(kama kuna kitu...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Hakuna daftari linakuwa na taarifa za uongo kama lile la lodge au guest. Wahuni bhana huwa pia waongo waongo. Mtu anaandika katoka Bunda kumbe katoka Bunju yupo Sinza lodge.
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Hakuna kitu kinakela kama kuulizwa utaoa lini?Kila mtu ana maisha yake sisi mabachela hatupendi usumbufu tuna penda Uhuru sasa unaoa halafu unaulizwa huko wapi unafanya nini saivi hupo na nani...
1 Reactions
1 Replies
682 Views
mimi rafiki yangu wa damu kabisa
0 Reactions
54 Replies
38K Views
Walikuwa wananata sana kama vile wazazi wao wanamiliki dunia. Bila shaka mtakuwa ni wajumbe wa bodi ya michezo ya kubahatisha au wakurugenzi wa Kampuni za kubeti.
16 Reactions
71 Replies
6K Views
Nasikia kuna hii kitu huzungumzwa sana na watu hasa wanaume je ni kweli ukikuta ndizi kwenye geto la mwanamke usiile? Na kwa nini? Wajuzi wa mambo nifumbueni.
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Nipo Kibishara zaidi, ninao mabinti waliofunzwa kufanya kazi hiyo ili kujiajiri na kujiongezea kipato. Wale wanaofikiria kungonoka wasipoteze muda wao kuni-PM~~~ Huduma hiyo haipo
1 Reactions
50 Replies
5K Views
Matangazo muhimu
0 Reactions
0 Replies
955 Views
Mchaga mmoja kamtoa mke wake out. Mchaga :chips yai bei gani? Muhudumu :elfu mbili Mchaga :zina kachumbari? Muhudumu :ndiyo Mchaga :kachumbari mnauzaje? Muhudumu :ni bure Mchaga: okey basi...
6 Reactions
33 Replies
4K Views
Niaje Wadau, kwa wajuzi wa mambo haya ya ki rastafari naulizia ishu moja, ishu yenyewe ni kuhusu Leseni (Nasikia ipo) ya urastafarian yaani hata ikitokea ishu ama la kutokea huwezi kunyolewa...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
God is Good.
0 Reactions
2 Replies
546 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…