*Mambo ni mengi muda ni mfupi*. Hujamaliza Kuuza Korosho wala kusikiliza ripoti ya CAG, Unasikia ya Liverpool kumtoa barca *Manara* Kuhamia yanga[emoji848]
Mara Mdude Chadema katekwa...
Yaani kwa mfano ingekuwa chini ya ID ya mtu inakaa kazi yake anayofanya au knowledge aliyosomea kwenye field fulani ili tuwe tunapokea ushauri au maoni ambao kidogo una uhakika
Let's say "ndege...
Uko zako unatembea mara pap! Anatokea mwanajeshi na bunduki mkononi anakuamrisha, simama!! Ghafla bin vuu anatokea mchungaji na bible mkononi anakuamrisha kwa jina la yesu, hakuna kusimama!!
Je...
Nakupenda Manengelo.
Jana nilijaribu kukutongoza PM ila kabla sijaanza hukujibu hata salamu.
Nikiona reply yako au like yako mzunguko wa damu unakuwa mwingi sana kuelekea kwenye uume wangu na...
Please give me a chance
So I can make my confession
Or do I was wrong?
Won't you please overrule your objection
And give me one chance
So that I can make things up with you
I must apologize
Cause...
Hapo zamani za kale rais Barack Obama wa Marekani aliwahi kumtembelea rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Jakaya Kikwete katika hospital aliyofikia wakati amekwenda kutibiwa USA ili...
Salaam kwenu wakuu!!
Kuna kitu nimekuwa nikijiuliza lakini sipati jibu, ila nikaona ni vyema kuwashirikisha ili tuweze kujadili kwa pamoja.
Jambo ambalo limekuwa likinitatiza ni kuhusa hawa...
Hii nimeikuta hapa Dar es Salaam, unakuta mwanaume anamuita mwanaume mwenzake baba flani na wanaona sawa tu.
Kama mimi mtu unakuta mwanaume mwenzangu ananiita baba Nyangwegwe, au baba Kazurungu...
Sijawahi kuona au kumsikia Mzungu ukikutaka nae sehemu yoyote ile akawa ama anapenda ujue Kiwango chake cha Elimu au awe ' anajifaragua / anaringia ' nayo ila kwa Waafrika hasa Watanzania yaani...
Sorry Sana kwa wale ntakao wagusa leo nilikua napitia video huko YouTube nikakutana na video moja ikimuonyesha ZARI akiwa anasubiriwa na maandamano ya watu eneo la mlimani City chaajabu ni Kwamba...
Mara nyingi utasikia wakamatwa wakifanya ngono, mara nyingine wakifanya mapenzi, sasa tofauti ya maneno haya ni nini? najua wengine wanafikiri ngono ni ile isiyo halali, lakini hata mapenzi yapo...
Wiki mbili zilizopita Balozi za Nchi za Magharibi walitoa tuzo ya Ushujaa kwa Wanaharakati wanaotumia social media, ktk tuzo zile hakuwepo mwanachama hata moja wa Chama Cha Mapinduzi karibu watu...
Nimekuja kutembea kidogo arusha niambieni viwanja gan vizuri ambapo naweza hata ona warembo jamani
Kama wewe mrembo na uko arachuga njoo pm nikuelekeze nilipo tukale bata kidogo. Strictly...