JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
usiombe ukutane nae kwenye anga zake
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Kesho ni siku ya wafanyakazi Duniani na mgeni rasmi ni ráis JPM mkoani mbeya,tutabiri yatayozungumzwa . --Uhakiki umebaki na ukimalizika ataongeza mshahara kweli kweli tumpe muda. --Mishahara hewa...
10 Reactions
50 Replies
5K Views
Hii tabia ya baadhi ya members Ku reply bila kuweka na kareaction kokote ni roho mbaya tu zinawasumbua. Tujitahidi jamani kusambaza upendo wakati wa kureply.kuweka reaction yoyote.iwe ya...
17 Reactions
89 Replies
4K Views
Niende kwenye mada kabisa maana sihitaji kusalimia kwakua muda huu wasomaji mmeshalala..hahahah "im kidding" Nimekua mfuatiliaji na msikilizaji mzuri sana wa vipindi vya michezo redioni hasa vya...
3 Reactions
31 Replies
14K Views
Nikiri tu yakuwa miaka mingi iliyopita mimi nilikuwa mshamba sana wa magari kuazia gari moshi na mabasi ya mikoani. Siku moja nasafiri kutoka Arusha kuja Dar na basi maarufu sana kipindi hicho...
1 Reactions
38 Replies
6K Views
Yan kati ya stage ambayonais kijana yeyote huwa anaipitia ni hiii, Na kifuatacho apo ni mwendo wa puli tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Tanzania katika Umri huu wa Taifa letu , tu Najua Au tu nahisi kuna Baadhi ya viongozi wetu wakuu wa taifa(Maraisi)!walilazimishiwa na tume ya uchaguzi na sio waliochaguliwa na wananchi na kuna...
0 Reactions
4 Replies
668 Views
Mkoa mmoja ndani ya Kanda ya ziwa, wikendi kama hizi hukosi kusikia kelele za muziki wa kikopo(kipazasauti) na spika kubwa iliowekwa juu ya pipa na kuninginizwa kidogo juu ili mdundo upatikane...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Hii imekaaje wakuu mtaani kuna dada anaolewa leo usiku but nashangaa kaka yake kafurahi hadi kazimia na kuzinduka baada ya lisaa limoja.
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Viongozi wetu wa Kiimani wa kikristo na kiislamu hawa Semi chochote kuhusu taarifa ya CAG
0 Reactions
2 Replies
450 Views
Habari za mda wa mechi ya young Africans na Azam Nipo hapa kuuliz members kuwa Yuko wapi The list ameadimika Sana . Amekuwa haonekani jukwaani Kwa mda mrefu hadi zikazuka za Chichi kuwa eti The...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Habarini zenu mimi naitwa SEME nipo makete natafuta mke wa kuoa sifa :- -Awe na hofu ya mungu -Awe na chura aka mzigo -Awe na swaga kali kwa maana me naendaga maeneo nakutana na watu wa maana...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Kulikuwa na mzee mmoja ambaye alikuwa tajiri sana, Mzee huyu alibahatika kuwa na binti mmoja na ambaye alimpenda sana na hata kumwandika kuwa mrithi wa mali zake zote pindi mzee atakapoiaga...
18 Reactions
174 Replies
48K Views
Habari wakuu! Matumani yangu mpo poa kabisa. Kwanza kabisa nimekuta na mambo mawili ya ajabu hapa duniani Jambo la kwanza. KUMEKUWA NA UHITAJI WA PAKA MWEUPE ASIYE NA DOA (Bei yake ilikuwa 3.5...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wasalaam wana chit chat wote Namuulizia huyu mamake yupo wapi mana kimya sana almost week au week mbili hazijaonekana mbwembwe zake kwenye jukwaa. Kama mtu ana taarifa zake sio mbaya akatujuza...
2 Reactions
24 Replies
1K Views
*Mwanaume_ni_nani...!!!?* Mwanaume ni kiumbe cha pekee sana hapa Duniani, kuliko kiumbe chochote...!! Mwanaume anaweza kumuacha mwanamke aliyemfumania kisha akaoa mwanamke aliyeachwa kwa kosa la...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Habar zenu nimepata dharura naombeni mnisaidie mkopo wa tsh elf 50 kwa mwenye Nayo. Asanten
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Wandugu namtafuta huyu ndugu yangu, Sijamuona jukwaani muda mrefu na hata simu zake hazipatikani. Ambaye anajua alipo naomba amwambie kaka yake amemkumbuka sana anitafute. Wick , Hussein Melkiory
5 Reactions
52 Replies
4K Views
Najua mko powah wote. Moja kwa moja niende kwenye kastore kangu nilipokuwa mdogo. Mimi nakumbuka nilipokuwa mdogo mgeni akija nyumbani ilibidi wawe wananifungia chumbani maana wakimnunuria soda...
6 Reactions
8 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…