Mambo vipi wakuuu
Uzi huu ni maalum kwa wale amboa tushaio ja chungu ya wanajeshi aka baka baka...Wale watu kiukwel sizani kama wana mioyo
Nakumbuka Morogoro kwenye kambi ya mzinga wale wanajesh...
Mara pap ndege JOHN kashika shilingi elfu 10 cash mkononi, pembeni yake kuna Demiss anamtazama huku akitoa Tabasamu moja matata lenye hisia ndani yake,
Je unafikiri ndege JOHN atabakiwa na...
Tumeambiwa sisi ni nchi ya top ten toka mwisho kwa furaha. Hilo halishangazi sana,kinachonishangaza ni hii tabia ya kushabikia vitu vya ajabu ajabu.Hivi tunategemea kupata furaha kwa kushabikia...
huyu jamaa ananifurahisha sana kwa misemo mi namkumbuka kwa hii CHIZI AKAMATWI KWA UZURURAJI, n KIKOMBE CHA KAHAWA HAKIWEKWI KISOSI.......... Kama unakumbuka misemo mingine akimaliza tupia...
As you celebrate today, may good times, happy experiences, wonderful moments and awesome friends be yours. Happy birthday. Be the best and radiate love every moment.
Happy birthday daughter...
Wanafunzi wengi au watoto walikua wakiwabatiza walimu au lecturer wao majina ya bandia, lakini majina mengi yalitokana na mazoea ya hao walimu kupenda kutumia neno fulani kila mara kitu au tabia...
Habari wana jf.....
Toka juzi sijaingia jf. Nii nyuzi zipi ambazo zimetrend sana ndani xa hizi siku mbili kuanzia jumapili mpaka leo maana niliacha ule uzi wa Dada Jane ukiwa unakimbia balaa...
Ni kwanini mnapenda kuomba vitu vya watu tukiwaazimisha hamtaki kurudisha mñaanza mañeno ya kuudhi
1.nilimuazima charger ya pc akakaa nayo kama miezi miwili siku moja nikawa na safari nikamtext...
Poleni na majukumu wakuu
Nimebahatika kupata majani,magamba,na mbegu za mlonge
Najua hapa kuna wajuzi mnaweza kukusaidia namna kuitengeneza iwe dawa na matumizi yake
Nimeutafuta mlonge kwa...
Aman iwe juu yenu wakubwa
Kama kichwa cha habali kinavyosomeka hapo juu
Kuna jamaa Yangu mmoja alikuwa ni kitombi wa kufa mtu.
Mademu na yeye, yeye na mademu tena wale wakali kishenz
Cha...
Wahaya tafadhalini endeleeni Kufa ili wana Mkoa wa Mara ( Musoma ) tuje Kula, Kunywa na Kusaza Majumbani mwenu. Na naomba Mungu sana Wahaya wakishamaliza Kufa wote sasa zamu iwe kwa Waha kisha...
Delagawiza bhanyankima na bhanigini.
Naomba ufafanuzi wa huu msamiati maarufu,unaotumiwa hapa mwanza mjini stendi kuu linanamaana gani hili neno" NYEGEZI,"?
Nitashukuru sana kulitambua.
Salaam wadau, naomba tujikumbushe kauli zilizotolewa na viongozi au watu maarufu na ambazo zilileta gumzo na mijadala sana kwenye jamii hapa Tanzania
Naanza na
1." Hivi ni Vijisenti"
2." Kama...
Nchini China kuna takwimu kwamba wao huzalisha Makandarasi Milioni 2 kila Mwaka,ila barani Africa tuna wahitimu wa vyuo vya theologia yani wachungaji milioni 10 kila mwaka na bado wachawi...
Wiki iliyopita baba Paroko wa parokia yetu aliagwa rasmi. Amekuwa Paroko kwa miaka mitano.
Kanisa letu pia lina miliki shule ya msingi pembeni yake. Alhamisi Misa hujumuisha watoto wa shule na...
Jamii forum ishakuwa na watu wengi, stori nyingi Ni part kubwa ya maisha yetu.napendekeza kuanzishwe radio ya jamiiforum radio.dakika tunazo tuwe tunapiga simu najitambulisha kama ndege JOHN natoa...
Huu ni mwezi wangu wa kwanza, toka nianze kazi private sector.
Sijawai pokea malipo yoyote,
Sina hela wakuu nimepigika balaaa.
Job naonekana kama maisha safi lakin siri naijua mm,
Mfukon nina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.