JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
huku mtaani imekua kama vijembe kina mama wana lalamika hakuna wanaume waoaji,nasi pia tuma lalamika hakuna wanawake wakuoa ivi hichi kizazi kitaishia wapi ,single parents ina chukua nafasi ya...
0 Reactions
6 Replies
996 Views
Aisee Kuna watu sijui niseme Ni elimu ndogo au Ni imani tu potofu kukithiri akilini eti mtu anakusimulia visa vya kichawi kwamba Kuna watu Wana uwezo wa kuzuia mvua kunyesha.jamani elimikeni nyie...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nisiwe mnafiki kabisa yani bado sijaipata hiyo furaha ya taifa star kushinda mechi dhidi ya Uganda jana! Wenzangu kipi kimekufurahisha sana juu ya wao kushinda kwao Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Habari za mda huu wakuu? Ni jumamosi njema na takatifu kwangu kwakua tarehe Kama ya Leo miaka kadhaa iliyopita nilizaliwa mm hapa . Sina mengi zaidi napenda kuualika katika tafrija hii...
5 Reactions
13 Replies
876 Views
Ulale pema bk wa TMK mapanga ulale pema Steve 2 k, fadha nelly langa ulale pema Albert mangwair,John mjema mapacha, Ni njia Moja tunayoelekea nitafuata ulale pema remmy ongala kweli kifo hakina...
1 Reactions
5 Replies
792 Views
Tuwasaidie tu hawa wanachitchat na Wana MMU wenzetu kuwaonyesha wanaolandana nao. Ukiwa member wa MMU technically unaangukia kuwa member wa chitchat..la sivyo jitangaze leo tukuvue uanachama...
8 Reactions
105 Replies
4K Views
Kutokana na Ratiba yangu kubana so Ni lazima nifanye mazoezi hasa hasa ya viungo.. Nakoga vizuri if kuna ratiba ya Kula BUMUNDA basi nalitafuna vizur kabisa.. Kila nikichanganya hizi Ratiba...
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Habari&burudani Mapato TzLike Page March 20 at 7:04 PM · Barua kutoka kwa marehemu mama kwa kijana wake siku ya 3 baada ya mazishi yake. Mwanangu Mpendwa. Napenda kujua kwa nini nimekufa kama...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari za Masiku Wanazuoni wenzangu, Kutokana na Majukumu Mengi Nashindwa kuwa Active Kila Muda Humu. Kuna Pdf za Vitabu nimezipata ni Nzuri Mno hasa kwa wahandisi wa Ujenzi.. Kwa Mwenye Kufahamu...
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Nimepita Bar kadhaa maeneo ya Tandika Mwembeyanga naona bei ya bia ni ile ile iliyozoeleka , sasa naomba mwenye kujua zinapouzwa nusu bei kama viongozi walivyotuaminisha anielekeze .
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Kwa sababu leo, bei ya bia ni nusu bei kwa wakaazi wa jiji la Dar es salaam baada ya Taifa Stars kumfunga mwenye bomba la mafuta, basi tunaomba wale tutakaokunywa bia na kushindwa kufika kazini...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Kufuatia ushindi wa TAIFA STARS dhidi ya UGANDA kwenye hii michuano ya kufuzu kombe la mataifa afrika,kumezua tafrani mikoani baada ya mkuu wa mkoa wa DAR kuahidi kuwa endapo TANZANIA tutaifunga...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hivi hizo milion kumi wanapewa timu nzima ya taifa star au ni wale waliocheza mechi tu na kama ata ni waliocheza mpira nahis wanaeza fika 13 ukifanya cros matiplication unapata milion 130 hivi...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Mimi nafikiri siku zote katika maisha yetu tuwe watu ambao tutaboresha Mambo yaliyopo au kugundua Mambo mapya ambayo dunia yote itayakubali Watu wakubwa waliofanikiwa Kama wa kina Stephen jobs CEO...
1 Reactions
1 Replies
433 Views
Hapa nilipo naona bei ni ile ile japo njemba zinapombeka tuu! Weita niongezee African fruit nishangilie zaidi maana bia mmegomea agizo!! Ila kwa ahadi hizi na hamasa hizi soon tutachukua kombe...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Kati ya watu kumi ni mmoja anayefikiri Watano wanadhani wanafikiri ila hawafikirii Wengine wanadhani wanatazama,lakini hawatazami,wanasubiri mambo yatokee tu lakini hayatokei! Sent using Jamii...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakati vijana milioni mbili wanahitimu masomo ya uhandisi kwa mwaka nchini China, Afrika vijana milioni 10 wanakuwa wachungaji kila mwaka- Julius Malema
6 Reactions
8 Replies
2K Views
Kuna maswali mengine nikijiuliza sipatagi jibu sijui kwamba ni kiswahili kigumu sana [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848] Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Back
Top Bottom