Salute,
Tunajua kuna sayari tisa, Mercury hadi Pluto. Miongoni mwa hizo dunia ikiwa ya Tatu.
Hizo sayari mbili kabla ya dunia zipo chini ya ardhi?
Au ni uongo tu tunaousoma kwenye geography...
Leo nikiwa katika harakati zangu,
Ghafla katokea mtoto mwanafunzi wa shule ya msingi, Nadhan ndio yupo darasa la kwanza.
Wakati wanacheza akaanza kuimba wimbo wa TAIFA.
kanikumbusha mbali nina...
wana jf kama kichwa kinavojieleza apoa juu, ni nin tofauti kati ya ndoto na malengo, na kipi kati hivi viwili tufwate ili tuweze kufanikiwa katika maisha.
Wadau poleni na majukumu, kama kichwa kinavojieleza apo juu ni kwann ndoa za miaka ya sasa watu wanafunga ndoa kwa mbwembe afu zinawah kuvunjika ,unakuta mazawaid kibao afu mwisho wa sik miez...
Habari zenu wakuu,
Samahani naulizia ni sehemu gani Arusha ninaweza kupata watu ambao wataniwekea nembo kwenye T-Shirts na Bags.
Nataka kwenye T-Shirts nembo ziwekwe kwa njia ya nyuzi na maneno...
1. Hila ya kikwapa, kunuka pasipo kidonda.
2. Elfu huanza na moja.
3. Achanikaye kwa mpini, hafi njaa.
4. Wakati wa hatari, mguu niponye.
5. Aendaye kwa mganga, hakosi jambo.
6. Bahiri hali mali...
Majira ya saa 10 jioni mjomba wangu akiwa ndani daradara maeneo ya mbezi beach aliibiwa simu aina ya Iphone .... lakini baada ya kuifuatilia kupitia find my i phone simu inaonyesha mpaka chumba...
Mambo vipi wana Jf
Nipo hapa Dodoma "CHAKO NI CHAKO"
Kama kuna member ambae yupo karibu na hii Bar au popote pale hapa Dodoma town.
Naomba uje tunywe,tule na tufurahie maisha kwa hisani yangu...
Wadau habari zenu.
Twende moja kwa moja kwenye mada. Huyu Gentamycine amekuwa mwandishi mahiri huku JF mwenye hoja motomoto. Lakini pia hatabiriki vizuri na vigumu kumuelewa msimamo wake kwa...
life ni gumu aiseee mpaka naacheka mwenyewe yaan, moja haikai mbili haikai nikiangalia sim yangu niingie upande wa contact naona hamna mwenye msaada kwangu naishia tu kufuta majina ivi wandugu...
Tupe experience yako, Jambo gani la hovyo ulishawahi kufanya sababu ya mapenzi!
Mimi nilishawahi kutoka saa sita usiku kwenda kumkiss babe, tena njia inapita makaburini, sijui ujasiri nilikua...
Kama nilivyoelezea mwite mdada yeyote unaemtaka humu Jf akiitika tu mfanooo Shunie akasema yes mr au yes mkuu basi Zama PM ukamalizane nae.
Yaani huo mwitikio ni kama Ruksa ya kuzama Pm yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.