TOFAUTI YA UCHANGIAJI WA MADA KTK FACEBOOK, KATI YA MAREKANI NA BONGO:
Hello, Naitwa Sandra, Nipo New York, nampenda mume wangu Sana, naweza kufanya chochote ili nimridhishe na kumfurahisha...
Aman iwe juu yenu wakuu
Karbu sana tupige story mbili tatu kuhusu Maisha ya hapo kale wazazi na sehem tunazotoka
Jukwaa hili siyo la wasukuma peke yao ila ni la watu wote, nimeamua kuandika...
wachaw mtuonee huruma mda mwingine tunarud mageton tumechoka na nyie usik mnafanya yenu toka juzi mnanipa kabari nawachora tu yaan usik wa kuamkia leo kabisa nakabwa usingizin naona mguu...
Aisee hili dude nakumbuka mdogo wangu wa kike alikuwaga nalo na muda wote alikuwa analicheza muda wote yani. Lilikuwa linanikera na makelele yake, unakuta umelala usiku au unatafuta usingizi...
Huku kwetu Uswahilini choo kinatumika masaa 24 ya siku katika siku saba za Juma.
Huna haja ya kusubiri tank lijae, unamsubiri aliendani amalize na wewe unaingia. Kama utakutana na ajali...
Enzi zile Amina chipufa na Masood kipanya walikuwa ni watangazaji wa clouds wanawahoji watoto,enzi hizo old bongo hits wasanii wa Kali wakina Jay moe,ngwair,solo thang,Prof Jay,na wengine wengi...
Leo mnaungana na anayeminya uhuru wa bunge kumkandamiza msema ukweli ila mkumbuke ipo siku huyo anayewatuma kufanya yote hayo atalidhalilisha kweli bunge na mtakosa la kumfanya na mkitaka kuitisha...
Kwanini mwanamke akiwa mwepesi kuingia line unapomtongoza huwa hawawagi na mzuka na ushawishi saana kama wale wanawake wanaozuga kukaza kaza nati kidogo na kuzunushana sana.
Any Thoughts...
Dini (Za Kigeni) ni mfumo wa imani wa wenzetu yaani "wazungu na waarabu" waliouleta Africa kujaribu kutuhadaa na kututawala.. hawa jamaa walileta dini katika Ardhi yetu zama za Giza!
Kwa sasa...
Nilikimbizwa na ng'ombe Nikaenda kudondoka kwenye shimo la urefu wa futi sita nikazimia kuja kuamka nikashtuka nipo hospital.hio ndio ilikuwa Mara yangu ya kwanza kuzimia na sikuwahi kuzimia...
Jana nimemsikia mzee baba ana lalamika kwamba ndege ilitakiwa kusindikizwa hadi na airhostage.
Kizungu nimenishinda?
Au ni wale wadada wazuri?
Hostage najua ni waliotekwa?
Mwenye ile clip...
kipindi tunaelekea kwenye kampeni yetu ya kuchagua viongozi wa kitaifa wa chaputa,tujuzane Ni Mara ngapi kwa siku unakula nyeto
Nianze na Mimi mwenyewe ofisa mwandamizi mashuhuri wa chaputa.rekodi...
https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/30951814
Huyu mzee ameamriwa kuwa kituko sasa kwenye jamii.
Hizi video zake zinazosambaa anatamka maneno ambayo hayasikiki akiwa mbele ya mkewe K-Lyn...
Nimewaza sana Hawa mashoga Lesbian nikwanini walichagua rangi za upinde wa mvua nakuwa kiwakilishi cha Bendera yao kama kuna shoga atufafanulie usihofu siku hizi mnakubalika.[emoji28]
Sent using...
Je...
Umpige bonge la Mbata
Umwamshe na Umlambe bonge la Kofi
Umwamshe na Uanze Kumuhubiria neno la Mungu labda ana Pepo
Umwagie Maji ya baridi Usoni
Umkandamizie na Barafu Shingoni au Usoni...
Jana jumamosi baada ya kutoka zangu shamba na kujirudisha home Kuna kamchepuko flan hv nimekawinda muda kidogo Jana kakajaa kwenye 18.
Nikajiandaa fresh, nikaaga home naenda kwenye kikao Cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.