JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Habari, Wakubwa naomba mnikumbushe ,kuna tukio lilitokea Chuoni Mlimani mwaka 1998/99.Pale Supermarket Mlimani karibu na Polisi.Kuna Wadada 2 walikamwata wakiiba choklate.Tukio hili lilivuta hisia...
2 Reactions
39 Replies
4K Views
VICHWA VYA HABARI MIAKA MITANO IJAYO NA KUENDELEA ... TBC HABARI 2020: Ndugu Edward Lowassa aapishwa kuwa rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na kuwa rais wa kwanza kuongoza nchi hii kutoka...
19 Reactions
66 Replies
10K Views
Nimecheka sana kumkuta jamaa yangu anasikiliza taarabu yuko bize kabisa. Kweli wanaume tumeisha
2 Reactions
59 Replies
5K Views
Wapendwa leo kuna tukio la kuhuzunisha limenitokea. Nilikuwa nimesimama maeneo ya michenzan nikisubiri gari, ghafla nikamuona mama mtu mzima analia kwa sauti kubwa, mda huo huo nilikuwa nimeshika...
5 Reactions
12 Replies
4K Views
Waasalam; jana ilikuwa zamu yetu/me kufunguka. Uzi ulinoga kinoma. Leo ni zamu ya wanawake kufunua mioyo yao kuwataja wawavutiao . Sijui ile fomular ya "if you do me I do you" itachukua nafasi...
13 Reactions
3K Replies
102K Views
Kama kawaida mida yetu huwa ni jioni, hii ndo mida ambayo liquid tunaifanya(ga) iendelee kubaki kileleni.
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Mti huu nimetaka kuupanda lakini kuna watu kama watatu wanasema mti huo una uhusiano na masuala ya ushirikina kwamba husababisha matatizo ya uzazi ktk family. Tuache uchawi ktk utunzaji mazingira...
1 Reactions
14 Replies
4K Views
Hapa ni kwa madon tu ukiona kipato chako ni chini ya milioni moja fanya kupita hivi Nenda kule kwa Makapuku Forum Nb. Msione uzi unaenda mdogo mdogo ni kwa sababu mamilionea huwa tuko bizy sana...
9 Reactions
101 Replies
6K Views
Hii hali huwa inanishangaza sana na nashindwa niitatue vipi.. ushakutana na hali kwamba kila mahali watu wengi wanakuwa kinyume na wewe hata kama hujawahi kuwakosea!.. unaweza ukakuta labda ni...
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Mpenzi msomaji jaribu kufatilia wimbo huo mpya ulioimbwa na Mh Temba unaokwenda kwa jina la mtaalam wa Dar kuanzia kiitikio mpaka Verses ameimbwa RC Makonda! Nimeipenda aina ya uwasilishwaji wa...
4 Reactions
9 Replies
3K Views
MAKUBAZI Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wakuu hivi ni sawa kweli mwanaume kumtawaza mtoto hasa mtoto wa kiume? Yani ushike kalio la mwanaume mwenzako kweli? Ushike ile anal ya mwanaume mwenzako kweli? Hii haipo sawa kabisa akina mama...
0 Reactions
94 Replies
8K Views
TAIFA STARS YAPOKONYWA USHINDI DHIDI YA UGANDA NA KUKOSA NAFASI YA AFCON CAIRO MISRI Timu ya soka ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) imepokonywa ushindi dhidi ya Uganda katika mechi yao ya...
1 Reactions
2 Replies
653 Views
Hivi kama baba na mama hawakubahatika kupata mtoto, Mimi nitaweza kupata mtoto? ...Ninatatizika na swala hilo wakuu!
2 Reactions
100 Replies
8K Views
Baba mmoja alikuwa na mabinti 6/sita na kila binti alikuwa na kaka mmoja. Je? baba huyu alikuwa na watoto wangapi ? Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Baada ya kutangaza vinywaji vyote nusu bei kwa masaa sita watu hawakulala kutafuta fulsa Nashuri siku nyingine aseme mchele na unga nusu bei maana si kwa kujimwagia huku Sent using Jamii...
4 Reactions
18 Replies
3K Views
Jamani naomba msaada wa kuielewa historia ya siku hii ya trh 1 April; inayohitwa ya wajinga duniani. Nini hasa ilikuwa lengo la uanzishwaji wake. Nimesikia na kukutana na msg ambazo siyo tu za...
0 Reactions
1 Replies
6K Views
Ever since I met,I've become the part my of life,friend the closest one...I never thought I will have a great time,happy and comfortability whenever were a together via phone or any means...
25 Reactions
2K Replies
46K Views
Back
Top Bottom