Kama mnavyojua kuna baadhi ya wazee wetu (baba) walikuwa na majina ya utani kutokana tu na kile walichokuwa wanapendelea kukifanya kitaani,
Je wewe mzee wako alikuwa na jina gani la utani?
Mi...
Wakuu Mimi ni kijana ambaye nikiwa natembea barabara huwa napenda Sana kuji reconnect na vitu nature mfano huu mwezi.ndio maana nimekuwa na Spirit kubwa ya kushuhudia mabadiliko napenda kuona wana...
Alipita mkapa nilikuwa sijanenepa,akaja kikwete na yeye katika enzi yake sikuwahi kunenepa,lakini toka Magufuli ashike nchi naona nazidi tu kunenepa na ngozi inazidi kunawiri.ila sio ule unene wa...
Nani humu JF ambaye una wish walau ufaham details zake kiundani kuhusu kazi yake,umri wake,wilaya na mtaa anaoishi,dini yake,ana familia ya Aina gani, partner wake,Mali zake,gari...
meddy kagere akipokea zawadi ya mchezaji bora wa mwezi wa ligi kuu bara
anayekabidhi zawadi ni mtangazaji maarufu wa clouds Tv kipindi cha clouds 360 bibie Baby Kabaye (SISTER DRED) Behaviourist...
chezea team kuoshwa enzi hizoooo!!!! yani unapakwa soap mwili mzima then unasuguliwa mpaka basi!
kweli mambo yanabadilika,, siku hizi hivi vitu vinapotea mdogo mdogo!!
natamani kuwa kama mtoto...
Tuliozaliwa kati miaka 1970 mpaka 1990 tuna bahati. Naweza sema ndio kizazi the best. Kuanzia malezi tumetoka tumeiva kimalezi. Mpaka sasa wazaliwa wa miaka hiyo wengi wao mpaka sasa wanakomaa na...
Nimeshajisajili na huduma hii ya kuangalia salary slip kupitia Computer, na nikiangalia kupitia computer huduma inapatika lakini nikitumia simu ya mkononi, sehemu zote nazotakiwa kujaza zinakubali...
Nimeleta huku ili tusitoe majibu kisiasa siasa.
CHADEMA: Rais kasaini sheria mpya ya siasa na Tanzania inaenda kuwa Rwanda rasmi, ndio maana Polepole anasema vyama vingi havina maana CCM kinatosha...
Kwa wale mnaotembelea insta mara kwa mara hasa habari za mastaa na udaku wa hapa mjini mtakuwa mnaijua page ya The Original East. Nadhani baada ya page ya Mange Kimambi hii ndio page inayoshika...
Kwenu wakina Dada nawashauri muwe na chupi nyeupe nyingi kuliko rangi yoyote Hii itakufanya mambo yako yakunyookeee kwa 100%
mwanamke ukiwa na chupi nyeusi nyekundu kijani njano kahawia...
Tukutane uwanja mpya wa Android hii na unaweza kuuliza chochote kuhusu android kama kawaida.
Ninapoongelea android huwa naongelea mfumo mzima wa android katika simu janja.
Pia tunatoa ushauri na...
Habari,refer to the heading
Miezi ijayo nimepanga kwenda marekani kwa ajiri ya masomo,napenda kujifunza kiingereza cha kuongea haswa American English, ili kupata uzoefu natafuta rafiki wa kike kwa...
Ni juzi juzi tu sio siku nyingi nilitoka mwanza kuja dom kuchek mishe si unajua tena life sio kukaa na kukalili sehemu moja
Mambo sio mambo jana yakawa mambo mtoto wa kitaa nimekutana na bonge...
Wakuu samahani kwa kuwasumbua.demu wangu nilikuwa nimemkosea kidogo Leo mchana alitaka nimtumie 10000 na Mimi sikuwa nayo/Sina. Sasa nikawa nampigia simu nimuombe msamaha.akawa hapokei akaja...
Baadhi ya wanafunzi mashuleni hupenda kuwa maarufu na wengine hujikuta wamepata umaarufu bila kutegemea. Umaarufu huu unaweza kuletwa na kitu/tabia nzuri au mbaya
Endapo ndiyo. Ni kitu gani...
Wezi/majambazi baada yakuona kuna shida kidogo kuingia ndani kutoka na milango yetu na madirisha kuwa imara wameamua kuja na mbinu mbadala kabisa, kiasi kwamba mbinu hii itawafanya kuwarahisishia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.