JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Mambo vipi wakuuu Uzi huu ni maalum kwa wale amboa tushaio ja chungu ya wanajeshi aka baka baka...Wale watu kiukwel sizani kama wana mioyo Nakumbuka Morogoro kwenye kambi ya mzinga wale wanajesh...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
Mara pap ndege JOHN kashika shilingi elfu 10 cash mkononi, pembeni yake kuna Demiss anamtazama huku akitoa Tabasamu moja matata lenye hisia ndani yake, Je unafikiri ndege JOHN atabakiwa na...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Tumeambiwa sisi ni nchi ya top ten toka mwisho kwa furaha. Hilo halishangazi sana,kinachonishangaza ni hii tabia ya kushabikia vitu vya ajabu ajabu.Hivi tunategemea kupata furaha kwa kushabikia...
1 Reactions
4 Replies
488 Views
huyu jamaa ananifurahisha sana kwa misemo mi namkumbuka kwa hii CHIZI AKAMATWI KWA UZURURAJI, n KIKOMBE CHA KAHAWA HAKIWEKWI KISOSI.......... Kama unakumbuka misemo mingine akimaliza tupia...
2 Reactions
41 Replies
22K Views
As you celebrate today, may good times, happy experiences, wonderful moments and awesome friends be yours. Happy birthday. Be the best and radiate love every moment. Happy birthday daughter...
5 Reactions
13 Replies
828 Views
Wanafunzi wengi au watoto walikua wakiwabatiza walimu au lecturer wao majina ya bandia, lakini majina mengi yalitokana na mazoea ya hao walimu kupenda kutumia neno fulani kila mara kitu au tabia...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari wana jf..... Toka juzi sijaingia jf. Nii nyuzi zipi ambazo zimetrend sana ndani xa hizi siku mbili kuanzia jumapili mpaka leo maana niliacha ule uzi wa Dada Jane ukiwa unakimbia balaa...
0 Reactions
42 Replies
2K Views
Ni kwanini mnapenda kuomba vitu vya watu tukiwaazimisha hamtaki kurudisha mñaanza mañeno ya kuudhi 1.nilimuazima charger ya pc akakaa nayo kama miezi miwili siku moja nikawa na safari nikamtext...
4 Reactions
45 Replies
3K Views
Poleni na majukumu wakuu Nimebahatika kupata majani,magamba,na mbegu za mlonge Najua hapa kuna wajuzi mnaweza kukusaidia namna kuitengeneza iwe dawa na matumizi yake Nimeutafuta mlonge kwa...
0 Reactions
2 Replies
548 Views
Aman iwe juu yenu wakubwa Kama kichwa cha habali kinavyosomeka hapo juu Kuna jamaa Yangu mmoja alikuwa ni kitombi wa kufa mtu. Mademu na yeye, yeye na mademu tena wale wakali kishenz Cha...
3 Reactions
32 Replies
8K Views
Hongera kwao,kwa kuwa members wenye mafanikio makubwa ndani ya jf.. Rutashubanyuma Numbisa Shunie Mshana Jr ISIS SHIMBA YA BUYENZE mzee wa liver
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Wahaya tafadhalini endeleeni Kufa ili wana Mkoa wa Mara ( Musoma ) tuje Kula, Kunywa na Kusaza Majumbani mwenu. Na naomba Mungu sana Wahaya wakishamaliza Kufa wote sasa zamu iwe kwa Waha kisha...
11 Reactions
91 Replies
10K Views
Ina maana hili Taifa ndio limekuwa na vijana wengi wenye mindset hasi kiasi hiki !!? Sent using Jamii Forums mobile app
13 Reactions
82 Replies
5K Views
Delagawiza bhanyankima na bhanigini. Naomba ufafanuzi wa huu msamiati maarufu,unaotumiwa hapa mwanza mjini stendi kuu linanamaana gani hili neno" NYEGEZI,"? Nitashukuru sana kulitambua.
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Natamani atokee mwanamke mmoja kama malaika anipende bure ntamlipa fadhira za upendo wake
4 Reactions
24 Replies
3K Views
Salaam wadau, naomba tujikumbushe kauli zilizotolewa na viongozi au watu maarufu na ambazo zilileta gumzo na mijadala sana kwenye jamii hapa Tanzania Naanza na 1." Hivi ni Vijisenti" 2." Kama...
1 Reactions
24 Replies
5K Views
Nchini China kuna takwimu kwamba wao huzalisha Makandarasi Milioni 2 kila Mwaka,ila barani Africa tuna wahitimu wa vyuo vya theologia yani wachungaji milioni 10 kila mwaka na bado wachawi...
2 Reactions
10 Replies
852 Views
Wiki iliyopita baba Paroko wa parokia yetu aliagwa rasmi. Amekuwa Paroko kwa miaka mitano. Kanisa letu pia lina miliki shule ya msingi pembeni yake. Alhamisi Misa hujumuisha watoto wa shule na...
6 Reactions
10 Replies
970 Views
Jamii forum ishakuwa na watu wengi, stori nyingi Ni part kubwa ya maisha yetu.napendekeza kuanzishwe radio ya jamiiforum radio.dakika tunazo tuwe tunapiga simu najitambulisha kama ndege JOHN natoa...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Huu ni mwezi wangu wa kwanza, toka nianze kazi private sector. Sijawai pokea malipo yoyote, Sina hela wakuu nimepigika balaaa. Job naonekana kama maisha safi lakin siri naijua mm, Mfukon nina...
5 Reactions
36 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…