JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Hi friends, nimemiss sana kukutana na kupata marafiki wapya!! mtu yoyoyte mwenye hitaji kama langu au anayependa kukutana na kufahamiana na mtu mpya katika maisha yake naomba ni PM tufahamiane...
1 Reactions
9 Replies
694 Views
Binafsi namuelewa sana Profesa. Ni mtu anayejua kusimamia anachoamini hata kama wengi hawamuelewi. Sio rahisi kwanza Profesa kueleweka na kila mtu isipokuwa sisi wachache wenye maono. Sasa, mambo...
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Kwa yeyote yule aliyekwsiha kukaa karibu na mnywaji/wanywaji pombe, mtanielewa/mtaelewa pale kinywaji kinapo anza kumwagika mdomoni na siri zinapoanza kutoka nje. Huu ni ukweli kwa wale tunao...
8 Reactions
105 Replies
6K Views
Nimefanya uchunguzi nimegundua wanaume ambao hawajihusishi na maswala ya mahusiano Wana furaha Sana ndani ya mioyo yao.hawana mawazo Sana na Wala hawana magonjwa ya moyo na pia hawana stress.hata...
6 Reactions
6 Replies
1K Views
Mm kupiga ... Sent using Jamii Forums mobile app
3 Reactions
76 Replies
5K Views
Vijana ambao tulikuwa nao Sunday school na badae kipaimara baadae tukaacha kabisa kusali mtu kwa mwezi anaenda Mara Moja.
1 Reactions
17 Replies
7K Views
Wadau hebu tukumbushane ilikuwaje mpaka ukafanya mapenzi kwa mara yako ya kwanza? Uliweza au ulichemka? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
26 Replies
9K Views
Huu ni uzi special kabisa kwa watu wenye siku mbaya..au mambo hayajaenda vizuri kwenye siku husika,unaruhusiwa kuja hapa na kutema nyongoo zako mods wataelewa tu..... Karibunii Sent using Jamii...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
Habarini za mida wana JF. Hivi ulishawahi ku note hiki kitu hasa kwa wanaume, ulishawahi kuwa unapita maybe kwenye njia fulani halafu uko na wenzio au kuna watu wanakuja either mbele yako au nyuma...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kukaa single muda mrefu kunaleta karoho Fulani ka Husda hivi. Hii kapo naionea wivu live. Inanikumbusha enzi Niko in love na my college sweetheart. Haki kubebishana kwao kumenifanya nigutuke...
47 Reactions
406 Replies
21K Views
Habarini za mida wana JF. Hivi ulishawahi ku note hiki kitu hasa kwa wanaume, ulishawahi kuwa unapita maybe kwenye njia fulani halafu uko na wenzio au kuna watu wanakuja either mbele yako au nyuma...
0 Reactions
2 Replies
525 Views
Nipo hapa maeneo ya Upanga nakula chakula cha vijana Yaani chips kavu na mishikaki karibuni sana kama jasho la mtu laliwa bure Asante sana kwa kunisoma Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
752 Views
Wadau kwema humu, Jana Jumamos, majira ya saa 12 jioni nikiwa nimevuka kutoka Kigamboni kumsalimia Baba wa rafiki yangu ambaye ni mgonjwa. Nikasimama mahala kununua maji ya kunywa, nikiwa nanunua...
2 Reactions
34 Replies
3K Views
Aidha unakubali au hautaki. Hizi mbio za kukimbizana kama njiwa zinakuwa nyingi kichizi halafu zinakera. Nikikutongoza angalau zisipite siku tatu, sana sana labda nikikutokea Ijumaa kabla ya...
45 Reactions
304 Replies
13K Views
Hodi humu jamani!!! Msishangae kuja usiku wa manane. Yamenifika hapaaaa!!! Kila nikilala usingizi hauji. Khaaa!!!! Sasa leo mie ujio wangu nimekuja na jambo moja tu kuhusu baadhi ya wanaume wa...
16 Reactions
239 Replies
13K Views
Mara tu baada ya kupata/Kula chakula chako Lunch au dinner unapendelea kushushia na kinywaji gani? Binafsi napendelea kuywa Pepsi au Coke ya Baridi kabisaa. CC Zero IQ
6 Reactions
95 Replies
8K Views
Wakuu naombeni wimbo Wenye kionjo cha wanaume wengi usiku wa manane huwa wanapiga magoti. Asanteni sana Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
20 Replies
3K Views
DUNIA NA VIPINDI VYAKE, ILIPOANZIA, ILIPO NA INAPOELEKEA. SEHEMU YA PILI DUNIA NA MAHALI ILIPOANZIA BWANA alipomuumba Adamu alimweka kuwa mtawala na msimamizi wa dunia na viumbe vyote vyenye...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Ni ID/member gani humu anatembelea nyota yako yaani mada zake kwa kiasi kikubwa zinaendana na mada zako? CC Zero IQ
2 Reactions
10 Replies
1K Views
1. Mafisadi wote na wahujumu wa nchi 2. Wanasiasa wanaopandikiza sera za chuki za udini 3. Maafisa ardhi wanaouza eneo moja la ardhi kwa zaidi ya mtu mmoja 4. Manesi, wauguzi na madaktari...
0 Reactions
67 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…