JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
wakuu salaam ; nimepotea kariakoo, mapema leo asubuhi nilifika asubuhi kwa ajili ya shooping kidogo; nikakusanya mazaga mazaga , sasa tayati kwa kurudi....... kimbembe kikawa ni wapi pakupandia...
0 Reactions
6 Replies
704 Views
MSIOPANDA DALADALA MNAKOSA UHONDO WA KAULI HIZI: 1) Nitakupa. 2) Atakupa mbele. 3) Hujapewa mbele? 4) Utapewa nyuma. 5) Nitakupa nikikaa vizuri. 6) Ngoja isimame nikupe. 7) Subiri asimamishe...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Uzi wa kuelezana kwanini uko macho mpaka sasa Mi nko macho kwa sababu leo nna mawazo sana nimevurugwa na nimpendaye najua apa kupata usingizi labda saa 8 hivi Na wewe endelezea...... .. Sent...
0 Reactions
27 Replies
2K Views
Just for fun, I com from heaven ask me any question
0 Reactions
12 Replies
972 Views
Huwa najiuliza hili swali mara nyingi, mimi ni nini? Maana najikagu naona mguu wangu, naona mkono wangu, naona kichwa changu, naona kiwiliwili changu, hapo vyote naona ni vyangu, sasa mimi ni...
1 Reactions
40 Replies
5K Views
  • Closed
mahondaw wangu siku hii ni maalum ya maisha yako, nataka kuona tabasamu lako kwenye hii siku yako ya kuzaliwa. Hakuna kilicho bora kuliko kushiriki siku hii maalum na wewe mahondaw wangu, wewe...
22 Reactions
224 Replies
15K Views
" nina binamu yangu matokeo yake ya kidato cha nne co mazuli kabisa ningependa nimpeleke collage ndogondogo ili apate japo utaalamu wowote ili asije kua mzigo baadae je nimpeleke kozi gani ambayo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Jiandaeni kwa mwaliko wa kwenda Ikulu. Risala yenu isifu juhudi za mtukufu kununua madege, kujenga reli,kujenga daraja la Mfugale, kupanua na kuikarabati JKNIA na ujenzi wa Chato International...
6 Reactions
18 Replies
1K Views
Habari za asubuhi habari za ijumaa wana jf. Swali langu kwanini ndege huyu ameitwa ndege mwaarabu? 1.kafanana na waarabu? 2.anatabia za waarabu? Mi sijui ndio maana nimelileta kwenu mnisaidie...
1 Reactions
77 Replies
22K Views
1) Huwa nashangazwa sana kwanini hakuna mabeki tatu tasa ? 2) Pili kwanini kila ukigusa tyu kila siku anakua majira ya joto hawana free day:D:D:D 3) Uimpa mimba mtoto anatoka copyright...
1 Reactions
2 Replies
926 Views
Whatsapp haina siri tena. Fahamu Jinsi ya kusoma sms kwenye akaunti ya rafiki yako kwa hatua hizi: 1. Search jina la rafiki yako toka contacts zako 2. Nenda kwenye Message 3. Kwenye sehemu ya...
8 Reactions
14 Replies
4K Views
Mbele ya Rais wengi hoja huyeyuka. Msiwashangae viongozi wa dini. Hata wanasiasa nao hupata shida Proverb 3:5-6
0 Reactions
1 Replies
713 Views
Naombeni mtaje idadi ya children ambao mpaka Sasa mwenyeziMungu amekujalia.. nikianza na me mwenyewe ninaye mmoja wa kiume.
1 Reactions
74 Replies
4K Views
hivi utafanyaje pale umeanza kuteremsha chupi ili doctor akuchome sindano,ile kumcheki unamuona anavaa CONDOM Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
655 Views
Kuna Wakati Umri Wako Ukifika Makamo Ya Utuuzima "Hautakiwi Kuzungumza/Kutenda .Baadhi Ya Mambo Iwe Kwa Utani Au Bahati Mbaya Ili Kuilinda Heshima Yako Sent using Jamii Forums mobile app
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Hadi itakapothibitishwa vinginevyo, hali ndiyo iko hivi... [emoji23] Proverb 3:5-6
0 Reactions
6 Replies
885 Views
hellow
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Aman iwe juu yenu wakuu Aisee Leo kumetokea tafran baina ya wajeda yaan wanajeshi na askari Wa kutuliza ghasia FFU wenye vikofia vyekundu kichwan Aisee mkono umetembea sijawah ona, zimepigwa...
5 Reactions
15 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…