Jf bhana kutokana na aina yangu ya huduma nakutana na member kibao. Kifupi huwez jua hata jina na avatar yake ila tunaelewana vizur kimbenbe kujuana Nick name tuu.... Ila thanks brothers and...
Ukijaaliwa uzima na afya,Karibu uje ule sikukuu ya X-mas nyumbani kwangu. Ila
Jitahidi uje na
Sukari kilo 1,
Mchele kilo 2,
Mafuta ya kupikia lta 2,
Ndiz mbivu za kutosha,
Nyama (steki) kg 6...
Niwatakie sikukuu njema mabibi na mabwana.
Tupo wengi tusiokuwa na tabia ya kutoa zawadi,na hata tukitoa hatutoi zawadi bora.
Zawadi ya thamani kabisa,iletayo baraka maishani mwako ni ile to...
Wadau, ulishawahi kuangalia movie kuna vitu ukawa unaviona kuwa ni uongo kabisa ila unasema tu "Duuh huu uongo mwingine bhana" lakini unaendelea kuangalia alafu ile umemaliza tu kuangalia unasema...
Wadau
Hapa tunasalimiana kwa kilugha na atakeyejibu salamu yako anakuwa rafiki yako.
Kama hujui kilugha chenu wewe sio mzalendo.
Naanza kwa salamu hii ya kwetu.
"Shimboni...
Kama kichwa cha barua kinavyojieleza, mimi Papushikashi kuanzia leo tarehe 23/12/2018 nimeamua kujitoa rasmi kwenye chama tajwa hapo juu.
Hii ni kutokana na aibu niliyoipata baada ya demu wangu...
Kama heading inavyojieleza wakuu tangu leo nimeamua kumuacha yna2 niko na new baby in town Khantwe ,
Yna2 alinipa pressure isiyomisilika kila siku nakutana na sms mpya za maboy wengine kwa phone...
Ninajivunia kukomboa kundi kubwa la watu ambao kimsingi walikuwa wanaenda kutapeliwa na wanawake X na Y ambao walitaka kutumia mgongo wa JF kujipatia pesa kwa kigezo cha kuandaa party.
Kiukweli...
Kiukweli kabisa inauma kukosa fursa kama hii ya kujumuika na familia. Ni wakati wa kujumuika na kujichunguza umepiga hatua gani katika maisha na kusahihisha pale ulipokosea. Akili inakua imetulia...
Kwa ufupi kuna baadhi ya majina nikisoma huwa nacheka sana nikiwa natafakari huyo mtu mwenye hilo jina alikua anawaza nini wakati wa kujisajili humu JF. Majina ya kufurahisha ni kama yafuatayo...
Wadau,leo nimeona nielezee kisa hiki kilichonikuta kwenye basi nikitoka mbeya/tukutu kwenda dsm.
picha linaanzia hapo natoka zangu nyumbani,ilikuwa safari yangu ya kwanza kuja dam kujiunga na...
Uzi huu unaweza kuleta mada yoyote ili tunaopenda ubishi tubishane. Wale wasiopenda ubishi pia mnakaribishwa kubishana mnapoona panahitaji kuwekwa sawa.
Ubishi uwe wa staha na stara si wa matusi...