ndugu wana jf ni muda sasa tangu nimeungana na jumuiya hii ya jf,,,nimeamua kuandik thread hii kwa lengo la kutafuta marafiki wa kweli kama kichwa cha habari kinavyojieleza,,,,
Nina umri wa...
Jamani Kuna vitu huwa navimiss sana ila basi tu.
Mfano_kukoboa mahindi kwenye kinu ilikuwa raha sana.
Kwenda kuchota maji na mtungi ukiyaweka mpaka asubuhi yabaridiiii.
Kupika wali na kupalia...
Mi nawakubali sana Mbwa mwitu. Au African wild dogs/ Lycaon Pictus. Hawa jamaa napenda jinsi walivyokuwa organized na uwindaji wao.
Kawaida yao wanakula mnyama bado akiwa hai. Wanyama gani au...
Naomba kudeclare interest kabla sijaenda mbali: Mimi ni muumini wa mapenzi. Naamini katika ndoa yenye mapenzi na sio sababu nyingine.
Nina rafiki yangu aliolewa siku kadhaa nyuma. Siku ya...
Unadhani ni sawa? Lengo ni kujenga au kubomoa mahusiano ya rafiki yako na mke/mume/bf/gf?
Mimi siwezi kusema mpenzi wa rafiki yangu akinitongoza nitamkataa ila sitakaa kumuonyesha wala kureport...
Salaaaam wanaJF.....
Uzi huu ni special kwa wale waliyobahatika kufungua zawadi kwa siku ya leo.
Picha zizingatiwe kwa wale waliyobahatika kukumbukwa na vizawadi.
Here we gonooooooo!!!
Kiufupi mm nikisema niwatafutie usafiri max zangu nahisi nafaaa kukodi bus zotee za ABOOD BUS SERVICE za kutoka Dar -Moroo ndo watatoshaa.
Nyongeza :
Wenye mapovu na msiojua yani Demiss ni...
Pliz miss chagga najua mume wangu Ntuzu yupo kwako. Unaona raha gani kukaa na mume wa mtu huku mi mkewe nateseka peke yangu? Mwanangu romantic eyes karibia chuo kinafunguliwa baba...
Jamanii asanteni sana wale wote mlionisaidia na hata wale mlio nibeza mungu awabariki sanaaa
Leo asubuhi nilipata dharura kidogo nikawa sina pakuanzi kila niliye mtafuta kimya nikaona isiwe tabu...
Wakuu kimsingi mimi huwaga sina muda na hizi sherehe... huwa nawashangaa sana watu wanapokosa usingizi kisa Christmas!!
Mbaya zaidi mtu hana hela na anataka asherekee sikukuu kwa mgongo wa mtu...
Miaka ya nyuma mpaka kura tulipiga nimeshangaa mabadiliko hakuna Tena thread ya hivyo nikasikitika mwaka 2018 unaishaje kinyonge
Ila Mimi nagawa zangu.brand zangu Bora kabisa kwa hapa jf...
Habar wana JF Leo nakuja na Uzi huu wa kufungia mwaka 2018
"Unywaji pombe kiasi huleta shangwe moyoni na furaha rohoni"
#MyTake Kipindi hiki cha sikukuu za mwisho wa mwaka,Jihadhari sana na...
Uzi maalumu wa kushares vibes na matukio yote ya bataz sikukuu hii,
Mi nimetua dodoma hapa nikitokea mwanza,
Nime chill Rainbow pub na ndo kuna uzinduzi wa JackDaniels....
Kesho naingia Mjini na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.